habari zilizoingia sasa hivi ni kwamba kilimanjaro band 'wana njenje' (pichani) watatua a-taun jumapili ijayo tayari kutumbuiza wakati wa mkutano wa siku nne wa sullivan jijini hapo.
kiongozi wa njenje waziri ally ameiambia globu hii usiku huu kwamba watatua a-taun jumapili na kufanya onesho lao la kwanza siku ya ufunguzi wa mkuatno huo juni 2, 2008 na pia wakati wa ufungaji june 6, 2008.
na mambo yakienda mswano huenda wakatia timu matongee pub & nightclub wikiendi itayofuata. waziri kasema usiku huu kwamna wakazi wa a-taun wakae mkao wa kuduarika na vibao vya vipya kibao.
Chei chei babu Njenje, mi niko na swali 1 tu, kwa bau Njenje eti hivi babu Njenje mvi huwa zinaanzia utosini kuenea kichwa kizima, au zinaanzia kichwa kizima kuja utosini? naomba jibu tafadhali, kwa ajili ya bendi nzima nzima naomba kuuliza yafuatayo:-
ReplyDelete1. Je mno CD/DVD zozote, sisi tulioko ughaibuni tunaweza kuzipataje?
2. Je ni kweli mmetoa nyimbo mpya au ni zile zile za siku zote?
Natumani kwa uungwa wenu mtanijibu tu insh. Kila la khri katika safari yenu ya Arusha, ila sina hakika Arusha na Mduara, wenyewe wa huko wanaweza kuduarika kweli? mdau
WEWE MTOA MAONI WA KWANZA SWALI KAMAHILO KWANINI USIMUHULIZE BABAYAKO SIANAZO ZAKUTOSHA? AU BABUYAKO.AU MFATE MKIWA WAWILI ATAKUJIBU NAKUKUFUNDISHAKWA VITENDO ATAULIOKUA UNAYAWAZA.
ReplyDeleteMichuzi kwa A-Taun bwana.Utarudi tena?Wana A-Taun kaeni chonjo michuzi kila kukicha A-Taun!
ReplyDeleteanon wa kwanza,unaongea pumba,sasa unamuuliza mzee njenje mambo ya mvi ili iweje?
ReplyDeletemama yangu anaattend huu mkutano wa sullivan,ni wa wadosi jamani.nitawapa fowanwan baada ya yeye kurudi
sexy gal