Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. jamani hiyo safari club iko wapi? Au ni ile safari club ya magomeni mapipa? sikujua Tanzania tunacelebrate Thanksgivin'

    ReplyDelete
  2. Kaka Michu,

    Haya matangazo mengine yananikumbusha yale niliyoyaona kule mgombani Arusha. Jamaa anasema kesho tunachinja fika na kikapu. Lakini hasemi hiyo nyama inachinjiwa wapi au ni ya ngombe au mbuzi n.k. Sasa tanzago hili la Bonny Luv atakuwa mji gani? nchi gani? Bara gani? Tusaidie. Maana huu ni mtandao. Hata sisi tulio huku Vietnam tunakupata.

    ReplyDelete
  3. wakenya wanapotucheka wana haki kabisa,hivi ni lini watanzania tutakuwa na ukumbi wetu kwa hapa dc?kuna watu wamekuja 15 yrs ago lakini bado wameajiriwa kupiga mziki na hao wakenya,yaani ni aibu tupu.kweli watz tumelala kwa kila kitu maneno mengi mdomoni.

    ReplyDelete
  4. lazima niwepo siku hiyo,tukumbuke za kale.

    ReplyDelete
  5. lazima niwepo Houston, Thanksgiving

    mdau, London

    ReplyDelete
  6. Anonymous 6:41am Tatizo watanzania hawana mshikamano ukifungua club wanasema kwanini niende kwa fulani atatajirika! wanakususia wako tayari waende kwa mnigeria kuliko kuja kwako, wivu mwingi kwa wabongo ujamaa umetuaribu vibaya sana mental

    ReplyDelete
  7. huu ukumbi wa safari wa hapa houston tx ni mdogo sana jamani kwa shughuli kama hii kubwa.

    naomba waandaaji watafute ukumbi mwingine.
    kwanza choo kichafu sana naomba mwenye ukumbi awe anasafisha choo kwanza.

    siku ya ali kiba palikuwa kama ndizi watu kibao,onyesho zuri ila watu niwengi wengine walikosa kuingia .
    tuomba ukumbi ukatabatiwe na tupelewekwe kwenye ukumbi mwingine.

    ukumbi mdogo na mchafuuuuu.

    mdau houston tx....

    ReplyDelete
  8. waTZ wengi nje ya nchi(hususan US) ni wanafiki ktk kusapoti biashara za waTZ wenzao.na huo ndo woga unaowafanya baadhi wasitake kufungua biashara kama za maduka au clubs.
    nilikwenda likizo ktk mji fulani(jina kapuni).usiku nikatajiwa majina ya sehemu za kujirusha then ilipokuja jina la sehemu ya mTZ,wenyeji wangu wakamalizia"lkn hakuna dili wala nini, kama vipi tutakupeleka there and there".i laughed and never ask for more info.lkn ni tofauti ukienda ktk club za Wakenya ama West Africans.

    ReplyDelete
  9. Hiyo safari ipo Georgia Avenue, hata sijui watu mtatoshaje, it is just a tiny place ingawa wana chakula kizuri chapati, maandazi, sambusa supu. Ni kweli inabidi Watanzania tuanzishe cha kwetu. Wenzetu Wakenya wameanzisha hata makanisa wanasalisha kwa kiswahili! Just imagine. Haya wabongo tuamke. Wale wenye uwezo wao mfikiriage vitu kama hivi. Hata duka tuu la kitanzania, hatuna. Kazi kweli!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...