Mheshimiwa mkuu wa wilaya,

Naomba uwadondoshee wadau wote 'preview' ya mambo makubwa yamwanamichezo mtanzania, Hasheem Thabeet.


Mwenzetu atakuwakatika kurasa ya mwanzo kwenye jarida la michezo ESPN toleola Novemba 17.

http://gallery.pictopia.com/espnmag/photo/6620198/
http://sports.espn.go.com/espnmag/issue?date=081117
Mdau

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Tunampa pongezi mdau huyu na kumtakia kila la heri.
    Kwa wale wenye imani "potofu", ajihadhari na jarida la Sports Illustrated. Wadau wanasema lina gundu, kila aliyepamba ukurasa wa mbele hukumbwa na majeruhi au kitu kingine kisicho chema muda mfupi baadae.

    ReplyDelete
  2. Kuwa majuu si kwamba unaharibu jina lako na kujiita jina ambalo silo jina lake ni la kidini na linaandikwa Hashim Thabiti, sasa anadhani kuwa majuu ndio kubadilisha jina, siyo mambo hayo, hata kwa jina lake angeweza kupanda chati tu, acha ushamba hashimu, jina lako original lingekuonyesha uko unique.

    ReplyDelete
  3. Huyu jamaa hakuna kitu ni bwege kaenda state mwaka tu anarudi huku anajifanya hajui kiswahili mithupu mtoe huyu dogo ananichefua please

    ReplyDelete
  4. Mbona hamjaseama kama ametolewa kwenye cover la sport illustrated - College Basketball la mwezi huu? Wivu tu.

    ReplyDelete
  5. mbona wewe au Hasheem mweyewe hamkusema kuwa katolewa ktk gazeti la college ? ... wivu tu !

    Hasheem, unazidi kuiva kimchezo.

    Rejea post za zaman; jihadhari usijisahau kuwa bado unajifunza kila siku, ongeza mazoezi. hakika unafanikiwa .

    ReplyDelete
  6. ahahahah! yaani mijitu mingine mibwege kweli, sasa wewe yeye kaamua kubadilisha jina wewe kina kuhusu nini? mbona wazazi wake wenyewe hawacomplain? au wewe ndio kinakuuma zaidi? kipeleke Jolly kisije kikaliwa na nyenyere! mwenzenu yupo kule anajitahidi anasoma, alafu anacheza mpira wa kikapu, wewe ulioko bongo huko unacomplain kuwa alikuwa anaongea kiingereza, si kaamua, ulijaribu kumsemesha kiswahili akakuambi amesahau? acheni ubwege! jaribuni kuwa positive sometime, sio kila siku akiwekwa dogo lazima muanze kummaliza tu, elimikeni, anapeperusha bendera ya Tanzania!! Hasheem Thabeet, keep it up man!!

    ReplyDelete
  7. awe kabadili jina au la doesnt real matter.wangapi wanabadili hadi DINI?na kama hushawahi kusoma mahojiano yake kadhaa ameweka wazi kwamba shule nyingi zilikuwa zikimpiga chini kwa kuwa Muislam.sometimes ili uweze ku-make, u got to do,what u have to do.WORD!!!
    stop hating.

    ReplyDelete
  8. NANI KAKUAMBIA HASHIM THABIT NI JINA LA KIDINI! DINI GANI? MBONA KUNA HASHIM KATIKA DINI ZOTE WEWE UNAZOZIJUWA. HASHIM NI JINA LA UTAMADUNI WA MASHARIKI YA KATI, UTAKUTA WAKIRSTO HUKO WANAITWA HIVI, WAPAGANI WANAITWA HIVI, WAISLAM WANAITWA HIVI, SI JINA LA DINI, NI JINA LA ASILI YA MASHARIKI YA KATI NA THABITI NI JINA LA KIBONGO, NADHANI UNAJUWA MAANA YA THABITI, THE WAY YOU SPELL IT DOES NOT MATTER A TINY BIT.

    ReplyDelete
  9. Hasheem be blind to haters coz they exist everywhere...!! Huyu jamaa anayesema kuwa kabadilisha jina ni mshamba wa kupindukia na wala hajui hata kwa nini anatumia hilo jina..!! Hila ni jina la uwanjani tu, kwani vitu vingine vyote vikiwemo shule,crdit card na hata pasport yake vinatumia jina lake original...!! Na kwa kutaka kuelewa undani wa hilo nenda uka-google magazine ya mwezi ya sports ullistrated ya college inayoelezea historia yake utaona maelezo yote. Na jina lake aliekudanganya kuwa anaitwa Hashimu ni nani? Anaitwa Hashim, so muache kuchafulia watu majina na mshughulike na yanayowahusu sio ku-hate kila siku..!!

    ReplyDelete
  10. Jamani hii ndio link ya sports illustrated ya Hasheem ya mwezi huu wa November..

    http://sportsillustrated.cnn.com/multimedia/photo_gallery/0811/cbk.preview.regional.covers/content.3.html

    ReplyDelete
  11. to hasheem,keep it up,ukitaka kufanikiwa ni bora ujifanye hujui kiswahili kwa muda,kwani ungejifanya mswahili hata hapo usingefika....
    mswahili hana mpya ni majungu na fitina ndio anayojua....
    saa hizi wanagombana baba yake obama kazaliwa tanzania sio kenya....
    pxxx....mlikuwa wapi siku zote?
    mi naishi majuu mwaka wa 15 nimejichanganya na waswahili huwezi kuamini ni kama uwanja wa fisi tu...flani kavaa nini,flani karudishwa,flani wameachana yaani hoooovyoooo mswahili anafananishwa na ngozi iliyojikunja hata ukiipiga pasi hainyooookii
    si unaijua ? hehehe yeah ya pu...

    ReplyDelete
  12. Jamaa hajatoosha kwenye gazeti mpaka amepindisha kichwa ili atoshe. Huyu siyo mtanzania.

    ReplyDelete
  13. Yaani Mjitu mingine sijui ikoje.. wewe nani kakuambia alikuwa hatoshi ikabidi wampindishe kichwa? haujui kama wangeamua kutumia picha ndogo wangeiweka na ingetosha, ile style tu, acheni ulimbukeni na kuanza kuropoka tu! we ushawwahi kuwekwa hata kwenye cover la hayo magazeti yenu ya shilingi hamsini sijui anayoyachapisha Shigongo, au unarokoka tu! hebu andikeni vitu vya maana kama hamna la kufanya bora msiwe mnaandika lolote muangalie hiyo pic alafu mlianzishe, sio mnaleta za kuja! Hasheem Keep IT up! Rep To The Fullest, nice article on Sports Illustrated by the way!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...