mwenyekiti mpya wa UWT Taifa Sofia Simba akiwasili viwanja vya Mnazi Mmoja Jumamosi hii ambako UWT mkoa wa Dar ulimwandalia sherehe za kumpokea na kumpongeza kwa ushindi wake huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. I thought UWT, sounds like UWT inclusive of all political parties, anyway politics is our business ventures these days.

    I sometime wish, we had a breakthrough scientific discovery, industrial revolutionist, or scientist find a cure for a certain disease, and start hailing him/her around Jangwani, i guess time will come for that, but when??

    To me, personally what a worst of resources and energy, and I am in no way against UWT or Umoja Vijana and so forth, but I think we spend too much time in politics, and we almost make it as industry rather than serving the people whom, we should represent, we rather lavishingly seems like ulaji for the loyal and elected, tell me if I am wrong ?

    By Mchangiaji

    ReplyDelete
  2. tatizo la CCM huwa hawaachii na kizazi kipya, tangu tumezaliwa ni majimama hayo hayo wakati kuna damu mpya tena wasomi wenye mawazo ya kisasa ambayo nchi yetu inayahitaji ili kwenda na kasi ya ulimwengu wa kisasa,tutafika kweli?

    ReplyDelete
  3. Hongera mama yetu mpendwa. Kuwa mwekiti wa UWT ni post nyinigine muhimu sana katika kulinda interest zako za kisiasa. Maana utakuwa na nafasi kwenye kamati kuu ya CCM, Halmashauri kuu na Mkutano mkuu wa taifa wa CCM. Hivyo tayari umeshajihakikishia survival kwenye system ya siasa kwa mda mrafu. Hongera sana. Lakini sasa jitahidi kutenda kazi zote zinazokukabili kama inavyotakiwa. Maana inaonekana vyeo vimekuwa vingi kiasi fulani lakini nina imani unafanikiwa. Hongera sana mama.
    Mdau wa OSLO

    ReplyDelete
  4. Wewe anonymous wa January 11, 2009 6:45 AM unaposema damu mpya wasomi, ina maana huyu mama hajasoma? CV yake inaonyesha ana first degree ya sheria ya UDSM, na baadae akaenda kusoma post graduate Diploma in Women Laws University of Zimbabwe. To me she is the right person being a lawyer specialized in women laws she will perform her work according to laws and regulations which will make the association to get achievements. Tusikurupuke tu kushambulia mafanikio ya watu. She has good experience na ni mtumishi aliyetukuka. Zaidi ya yote ni nafasi iliyokuwa ya kugombea ambayo ilitangazwa na ilikuwa open kwa wote hata wale wasichana wa miaka 18 (kama wewe anony ulivyowaita damu mpya) lakini hawakugombea. Je wangeliitwa tu na kuwa wenyeviti wa UWT? Sio sahihi kushambulia tu mafanikio ya watu.
    Mama hongera sana.
    Mdauuuuuuuuuuuuuzzzzzzzzzz

    ReplyDelete
  5. Aunty Sofia nakupa hi na hongera kede wa kede. Unayo changamoto zifuatazo: (1) redefining the role of UWT katika kutekeleza ilani ya ccm kwa mtazamo wa kileo (2)Hakikisha safu yako ya uongozi ina wasomi lakini angalia msianguke kwenye mtego wa kuwa elitist halafu mkawasahau wanachama wenu wa kawaida (3)Chukua hatu za makusudi kuwaingiza wanawake na hasa wale wasomi na walioko chuoni wawe wananchama wa UWT. (4) Watumie wanawake wasomi kama akina Profesa Tibaijuka, Asha Rose Migiro nk ambao ni modern women ili UWT iwike kisawasawa (5) Take advantage of JK as a chairman of CCM he is prowomen. Huyu anajali sana maslahi ya wanawake. Tumieni nafasi kuendeleza maslahi yenu. Sofia I trust you I beleive you gonna make it Lady.

    ReplyDelete
  6. Michuzi umnafiki sometimes. Comment nyingine unaweka kwenye kikapu Why? Fisadi mdogo we

    ReplyDelete
  7. I personally think that women who already hold high positions should encourage other well educated women who hold no postion. Tujenge utamaduni wa kuridhika na tulichonacho tukifanyie kazi kwa makini - How do you deliver when you have hundred and one responsibilities. We should stop being self centred and promote other women.
    Kila la heri.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...