Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, (IGP) Said Mwema , akisisitiza jambo wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tano ya awamu ya pili juu ya usimamizi na udhibitii wa fedha na mali za Serikali kwa Jeshi la Polisi nchi kwa Maofisa Wanadhimu wa Mikoa, Wahasibu wa Mikoa, Maofisa Mipango wa Mikoa na Vikosi vyote vya Tanzania
Juu na chini ni baaadhi ya Maofisa na Wanadhimu wa Mikoa, Wahasibu wa Mikoa, Maofisa Mipango wa Mikoa na Vikosi vyote vya Tanzania vya Jeshi la Polisi ambao ni washiriki wa mafunzo ya awamu ya pili ya usimamizi na udhibitii wa fedha na mali za Serikali kwa Jeshi la Polisi wakiandika dondoo na wengi wakimsiliza IGP Said Mwema ( hayupo pichani) wakati kufungua mafunzo hayo ya siku tano. Picha zote na mdau wa Kasoro bahari John Nditi
Home
Unlabelled
maafande wapigwa msasa wa usimamizi na uthibiti wa mkwanja
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
wengi wao wamenona!!!!
ReplyDeletesasa sijui ndio mambo ya mkwanja au ulafi tu
Hapo yanaingia sikio hili yanatokeaa upande mwingine.makamanda wa mikoa ndio wezi wakubwa wa pesa za serikali na askari.Hiyo ni danagnya toto tu hapo.Tunafahamu vizuri sana,geresha hizo
ReplyDeletesasa mkuu wa wilaya tageta,mie nna swali ?hawa jamaa si ndio walimpa kichapo !mwanahabari Mroki au??
ReplyDeletehalafu mlisusia kutoa habari zao? sasa kwanini leo wapewe nafasi hapa barazani wetu?tena wametandikiwa msala au mkeka mpya???