mdau emmanuel makala elia na mai waifu wake brenda j. kileo wakipozi na mama mzaa chema leo baada ya kumeremeta katika kanisa dogo la chuo kikuu jumamosi hii
mama wa bwana harusi akipozi na maharusi

mchungaji Hiza keshamaliza kuwameremetesha emmanuel na brenda

mchungaji Hiza akiwa na maharusi na wapambe wao
maharusi na familia ya bwana harusi

mdau martin 'jump around' akila pozi na maharusi na mpambe wa bw. harusi

maharusi na familia ya bi harusi

maharusi kwenye mnuso wao wa nguvu ukumbi wa kiramuu ulioko mbezi samaki wabichi
Jump around alikuwa bize sana katika mnuso wa mdogo wake
maharusi na mdau
wadau wakipozi na maharusi
bila konozzz na fulanazzz mnuso haukamilikagi. hapa ni giraffe motel












Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 41 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 28, 2009

    Michuzzzi, halahala, jamaa ndo kaoa halafu unapiaga konozz!?
    Ila jamaa anafanana na bro wake "jump arnd". Sijui na yeye jump lini ataachana na ukapera (kama bado).hihihi

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 28, 2009

    Michuzi kuvaa flana na jeans kwenye harusi ya wenzako ni dharau gani hiyo, huwezi kuvaa casual close kwenye sherehe ya mwenzio, please you have to know dress code of the invent!! thank you for taking this in your consideration coz wearing flanas on the weddings making me sick.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 28, 2009

    Jay P,
    Naona umetoka kama Jamie Dimon hapo :) Ncheki kwenye sametime :)

    ReplyDelete
  4. congratulation Makala......wish you all the best in ur new life with ur wife and family....God bless

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 28, 2009

    Kwa kweli wamependeza nawatakia maisha mema ya ndoa!!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 28, 2009

    hongera wanameremeta haooooo kumbe ulikua unapiga box la overtime ndio maana picha zimekuja haraka haraka

    NB: gauni la bibi harusi is a plus

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 28, 2009

    Diazz diaz diaz iazz diaz diaz,diazz diaz diaz Hongera sana !

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 28, 2009

    naungana mkono na Anonymous hapo juu kuwa Michuzi hii nini maana ya kuvaa t- shirt hiyo kwenye shuhuli ya nguvu?Dress code ni muhimu na sisi wabongo kwanini hatuelewi?Michuzi hapo umeharibu picha, samahani ila huo ndio ukweli.
    Pili Jump around hii sasa ni challenge kwako kaka! Tunasubiri yako, michango ipo.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 28, 2009

    Huna hata haja ya kumuomba samahani mdau. Mkuu wa wilaya ya nini anaharibu kusema ukweli...analo hilo! next time badilika ndugu yetu,noma!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 28, 2009

    Congratulations to both of you. Ya'll looking sharp! May God lead you in your new life.

    ReplyDelete
  11. ooohhh brenda cnt belive this..ohh my God,u both look gorgeous.Yeruaaa...mangi eehh.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 28, 2009

    Kaka sasa nimeamini umeachana na ukapera... Hongera sana kaka a.k.a mzee wa madiaz.... Jana harusi ilipendeza sana kwa kweli wanakamati inabidi wajivunie kwa kuweza kufanya jambo kubwa namna ile. Wish you all the best brother.
    Mungu awabariki katika kila jambo mtakalolipanga

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 28, 2009

    Huwezi ukaenda kwenye Harusi za watu wamependeza namna hiyo na ze fulana lako kaka. Unatia aibu,ona sasa ulivyotia doa harusi ya watu. Tena umemwekea mkono mke wake halafu nguo zako mbaya!

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 28, 2009

    nasikia harufu ya pajazzzzz.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 28, 2009

    Oya! Paparazi kama Michuzi inabidi saa nyingine ajibabatize ktk kona zenye buibui,apige goti, alale kifudifudi, aingie ktk water fountain, arudi kinyumenyume mara amegongana na 'shaba la pilau' n.k yote ikiwa apate picha za nguvu za wateja wake.

    Sasa Michuzi akivaa kama mualikwa wa harusi atakubali suti yake iingie maji ya chumvi au amwagikiwe na 'rosti'?

    Mdau
    WaMinuso.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 28, 2009

    Hongera sana my young bro and my neighbor at UDSM Makala. Mmependeza sana sana. Pia nakupa big Up kwa kuweza ku-maintain hiyo body size yako hapo bongo mpaka sasa. You look good brother. Ukianza kupikiwa tafadhali jitahidi uendelee ku-maintain body size yako pamoja na utuuzima utakapokuja.

    Mdau Canada.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 28, 2009

    Nilionaga siku moja kwa judge Judy mtu amemsue mpiga picha kwa kwenda kwenye sherehe yake na crew yake yote walikua wamevaa sloppy shirt na malapa. Alisema watu wale walimuharibia mandhari ya sherehe yake. Aliwin akalipwa

    Unatakiwa Michuzi uvae suti. Kila siku unavyoruka hujapata kasuti kacheap cheap ukakafanya kakuvaa tu kwenye kazi hiyo.

    Ukija kwenye harudi yangu tunaandikiana contract. Hiyo tshirt isitokee wala kukaribia mita 50.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 29, 2009

    Mkuu Makala Hongera sana, Jump Around nawe lini maaana kama Basketball sasa huchezi tena tafuta mwenza utulie.

    Mshikaji kwenye picha ya 10 kutoka juuu KWA MINUSOOOO tupo naye UDSM pale hehehehehehehhe

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 29, 2009

    Jamani hako ka fulanaz sio kwamba kapo kamoja tu. Ni uniform ya Bwana Michuzi. Anazo kama saba hivi. So tulizeni boli na acheni kumlaumu.

    ReplyDelete
  20. Kwa wale wanaojishughulisha na mambo ya taswira na wanaojua ubora wa picha naamini wanaona hili.
    Nasema Kaka uko juu na naendelea kujifunza. Maharusi wamependeza lakini na utaalamu wako wa kunasa taswira zao ni wa jhali ya juu.
    AMANI KWAKO

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 29, 2009

    ebwana hiyo t-shirt daily kaka du nunua nyingine mazeeeeeee....mdau MBIJE,A-Kafanabo

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 29, 2009

    ...balozi kakamata begazz na mume kakamata kiunozzz...

    mambo mswano

    ila wazuri ao adi balaa,asa mwanaume HB

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 29, 2009

    hahahahaaaa teh teh hahahahahahah

    hahahahahaaaa...jaman kuna wehu umu uyo mdau wa "pajazzz"

    sikutegemea dah!!ebu niache kusoma hii blogu nifanye kazi sasa

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 29, 2009

    ...uyu mwanaume mbona kama simwamini ivi...mh...kaka usimlize uyo mtoto mzuri

    yan wanaume km awa nawaonelea huruma tu,mana uko dunian kuna ving'ang'a adi ukadata,na ukiingia tu hutoki wal'ai yan unapotelea uko

    samahani lakini

    ndoa njema

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 29, 2009

    picha ya #2 toka juu

    mwanaume anatakiwa amshike ivo bibie au mwanamke ndo aingize apo mkono???

    ni hayo tu,ila yu look great,asa bibie uko unique ilo gauni

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 29, 2009

    wooooow!!!

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 29, 2009

    Huyo mdau anayezungumzia mambo ya Judge Judy, basi na michezo ya Komedi na Mzee Small unamini yote ni kweli.

    Michuzi yupo mzigoni, hivyo ubishololo wa u-celebrity anauweka kando.
    Mdau
    GateCrasher Mzoefu.

    ReplyDelete
  28. AnonymousJune 29, 2009

    Jamani siamini kama kweli kipenzi cha watu ameondoka kaenda zake! Prof H. J. Othman ni lecturer wa pekee sijapata ona,yeye hakuwa na tabia ya kutisha wanafunzi kama wengine,alikuwa mpole, msikivu kwa watu wote asiyekuwa na majivuno na mengine mengi!
    Alinifundisha DS first year 2005/2006 part ya DEMOCRACY AND GOOD GOVERNANCE bila
    "desa" written materials kama reference lakini alivyokuwa NONDO si mchezo!
    Amefanya mambo mengi yenye manufaa kwa taifa na kwa Africa nzima...........jamani kusema mengi nashindwa tumuombee kwa Mwenyezi Mungu ampatie pumziko la amani milele Amina!
    Tufuate yale yote aliyokuwa anayahubiri na tukumbuke kuwa kila nafsi itonja mauti na sisi ni wa Menyezi Mungu na kwake tutarudi dunia siyo makazi yetu bali tu wasafiri:leo Haroub,kesho huwezi jua ni mimi au wewe bali tuwe tayari!
    POLENI FAMILIA YAKE,UDSM,WAZALENDO WOTE NDANI NA NJE YA NCHI,AFRICA NA ULIMWENGU WOTE KWA UJUMLA!

    ReplyDelete
  29. AnonymousJune 29, 2009

    Duh teacher wangu wa Library Education amependeza sana!
    Maharusi wako mwaaaaaaa.....h!
    Huyo bro wake hatafuti au yuko occupied? I fall in Love with hm jamani nsaidieni!

    ReplyDelete
  30. AnonymousJune 29, 2009

    Hii Namba ya Bulombora hii kama sikosei. Umependeza, Mkuu ..kama kware!

    Afande Abbas

    ReplyDelete
  31. AnonymousJune 29, 2009

    kaka... picha zimeenda shule ila huo mkono umeuzidisha,mwenye mali alitakiwa kufanya hivyo,ingawa utaitia kapuni comment yangu lakini ujumbe utakuwa umekufikia.next time ukifanya mambo haya jaribu kujiweka kwa mbali hata kama muolewaji ni sisa wako. embu angalia mara ya nyingine hii picha ya chini,naona utapata ujumbe murua.ila usimindi ni kueleweshana tu.
    big up...!

    ReplyDelete
  32. AnonymousJune 29, 2009

    Yaa Michuzi hii tabia ya kuwekaweka Mikonoz inabidi urekebishe. Mikono yeneyewe ni michafu mnachimba dawa halafu hamuoshi. Na joto la bongo pia inakuwa na unyevu unyevu halafu wewe ndio unaweka juu ya bibi harusi na nyeupe zake. Katika hali ya kawaida sio jambo la kawaida sana kuwekeana wekeana mikonoz namna hiyo, watu wengine tunawekeana mikonoz tu na wapenzi wetu.

    ReplyDelete
  33. AnonymousJune 29, 2009

    Haya mjomba Makala Classmate Mlimani Primary na St.Anthony's O level hongera sana. Karibu kwenye club yetu Mdau Kays

    ReplyDelete
  34. AnonymousJune 30, 2009

    cha ajabu asa...

    balozi ndo kajiachia yan kajiegemeza na kujisahau kabisaaa kwa toto kuliko ata mwenye mali

    ila nanihii,hii tabia ya kikwako ya konozzz umeitoa wapi wee mzee misheni-town?mana sii tabia ya kitanzania ata kiduchu kulalia-lalia totoz like that,,siku utapigwa ngumi ya uso wewe??

    khaaaaaaaaa

    teh teh

    ReplyDelete
  35. AnonymousJune 30, 2009

    wooooooooow!..mmependeza sana!
    hongera sana makala na brenda.Mungu awajalie mzae watoto wazuri (kama mlivyo), muwalee na kuwatunza vizuri....

    ReplyDelete
  36. AnonymousJuly 02, 2009

    Woow BRENDA... u look lovely as always!! May God bless u and ur husband Makala,have an adorable family as u ARE!!!!

    ReplyDelete
  37. AnonymousJuly 02, 2009

    Hawa ndo wake sasa,so beautiful inside and out! aunt Bre mdogo wako kashakua? I promise to make her happy as u are with ur hubby!!

    ReplyDelete
  38. nimeimiss hii couple heri ya mwaka mpya 2011!!! michuzi fatilia basi tuone matunda?!! naimagine mtoto atavyokua msupuu

    ReplyDelete
  39. nimeimiss hii couple heri ya mwaka mpya 2011!!! michuzi fatilia basi tuone matunda?!! naimagine mtoto atavyokua msupuu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...