Habari Wana MK Music Galaxy,


Tunapenda kuwataharifu ya kwamba MK Music Galaxy imerudi tena ndani ya anga za Muziki baada ya kupata Servers mpya i.e. HP ProLiant BL680c G5 Server ambazo tumezifunga na zimesha anza kufanya kazi mara moja test http://mkmusicgalaxy.com/uone mawe makali yakirushwa kwa speed of light...Shukrani ziende kwa HP pamoja na michango yote tuliyo ipata toka kwa wapenzi wa MK Music Galaxy.


Kwa sasa tupo katika harakati za ku-solve issue ya www. maana ukiweka kama http://www.mkmusicgalaxy.com/ inagoma, ila ukiweka kamahttp://mkmusicgalaxy.com/ inakubali bila tatizo, haya yote ni mambo ya scripts ambapo tuta solve ndani ya muda mchache.


Ukipata Habari hii Mjulishe kila mtu kwamba MK Music Galaxy ipo hewani kwa nguvu mpya mara dufu.


Kwa test bonyeza hapa kula song ili.



Daima tupo Pamoja.
MK Music Galaxy - Exploring The Tanzanian Music.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2009

    mkiishia na miziki ya kitanzania tu kweli mtachemsha.jaribuni kuwa mnajichanganya na miziki mengine ya kiafrika kama kenya uganda SA nigeria nk. kuna madude kama fall in love la dibanj wa nigeria bila kulicheza hilo kwenye klabu za kiafrika mamtoni basi ujue dj hujafanya kitu. sasa mambo kama hayo!!! nyie mkiishia na bongofleva zenu mtakuwa na wapenzi kiduchu sana. juzi kati hapa dj edu wa bbc extra london alikuja hapa manchester afrikan klabu aliturusha na masongi mchanganyiko ya kiafrika watu wakadata manake humo wakongo,wakenya waganda,watz,wanigeria,waghana,wazimbabwe,zambia nk mkiishia na bongofleva tu mtakuwa mnachemsha na yahoo wa kitaa zenu zisizo na mpango!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 13, 2009

    Mwana, Kila kitu kina dhumuni lake pale kinapo anzishwa, masela wamefungua web yao kwa ajili ya kutangaza mziki wa Kibongo, wewe una waambia waweke bolingo, siju nigeria, n.k so si ufungue web yako na wewe na kutangaza wakongo,wakenya waganda, wanigeria,waghana,wazimbabwe,zambia nk ??????????? ambao wenye mpango kuliko wa Tanzania!

    And that is their goals, targets, purpose and reason to exist and that is their business of existence to explore the Tanzanian Music and not other than that.

    Nawakilisha.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 14, 2009

    siku hiyo MK niite mimi niwe mgeni rasmi, nitakata utepe,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...