mai hazbendi anapopigwa ngeta

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Ngeta kama hizo unaweza kumkumbuka bibi wa bibi yako hata kama hujawahi mwona.

    ReplyDelete
  2. Ngeta kama hizo unaweza kumkumbuka bibi wa bibi yako hata kama hujawahi mwona.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 13, 2009

    Duh! Ukiwa na Mke Bouncer hatari kama Mieleka? hahahaah Kudadadeki Baba siku ya pili Vimobiteli vyako utaviwaga mapema.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 13, 2009

    alikuwa anataka kutoroka huyo,kubigwa roba moja akasema nilikuwa nakutania bado sijachoka nabakia hapa hapa.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 16, 2009

    ndivo tunavowashiiika wanaume siku izi...

    hawakohoi hawaongei...na bado

    haloooooooooooooo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...