mdau kashtakiwa, kwa mara ya pili, kwa kuficha nanihi ya mkewe kwa tuhuma za utovu wa uaminifu. kesi iko polisi jijini blantyre, malawi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Hii kali. Waafrika bwana du!!. Kama huu utalaamu ungeweza kutumika kwenye mambo ya maendeleo Africa ingekuwa mbali.

    Hii ingeweza kutumika kupunguza kuenea kwa HIV kwa njia kujamiana.

    Kwani kama ikitokea mtu
    amegundulika ana HIV basi utalaamu huu ungetumika. Mtu akitaka tu kufanya shughuli nahii inapotea.

    Mbona kunea kwa HIV kungepungua sana.

    ReplyDelete
  2. Mdau wa Malawi anaweza kupata msaada akisoma habari hii:

    Sala Kabla ya Kufanya Tendo la Ndoa


    Tuesday, September 08, 2009 7:34 AM
    Jumuiya ya kanisa katoliki nchini Uingereza imewahimiza wanandoa kusali pamoja kabla ya kuanza kufanya tendo la ndoa na imetoa kitabu maalumu chenye mafundisho ya sala hizo.
    Sala hiyo maalumu kwaajili ya wanandoa imetolewa na kanisa katoliki nchini Uingereza ili kusafisha nia za wanandoa ili tendo la ndoa lisiwe na ubinafsi au maumivu.

    Kitabu chenye sala hiyo maalumu ambayo hufanyika kabla wanandoa hawajaanza kujamiiana kimeandaliwa maalumu kwa lengo la kuwafanya wanandoa wasafishike na madhambi ya kimwili wakati wa tendo hilo na wasifanye ubinafsi katika kutimiziana haja za kimwili.

    Kitabu cha sala hizo kimechapishwa na Catholic Truth Society, jumuiya ya kanisa katoliki yenye makazi yake jijini London. Kitabu hicho kinaenda kwa jina la "Prayer Book for Spouses".

    Kwa mujibu wa kitabu hicho, sala itakayofanywa na wanandoa kabla ya kujamiiana itawafanya wanandoa wajitolee kwa kila mmoja, mioyo yao kufunguka na upendo wa kweli kuongezeka.

    Kitabu hicho kina sala mbali mbali maalumu kwa kila hatua ya ndoa na familia kuanzia hatua ya kuchumbiana mpaka kulea watoto.

    Kitabu hicho kinasisitiza watu kufunga ndoa na kuishi pamoja milele huku kikilaani utoaji mimba.

    Kitabu hicho pia kinawakosoa watu ambao wanaona ni vigumu kuishi na mtu mmoja milele.

    Kitabu hicho chenye kurasa 64 kipo madukani nchini Uingereza kikiuzwa kwa paundi 1.95.

    Source:http://www.nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsId=3027926&&Cat=7

    ReplyDelete
  3. Nashangaa kuona dunia inatafuta dawa ya ukimwi wakati imeshapatikana malawi inachotakiwa huyu mtaalamu kuiambiya Dunia jinsi inavyopatikana na fomula gani kutengeneza zaidi kwa kuikoa dunia na janga hili.

    ReplyDelete
  4. Hiyo ndio inafaa kwa wanaume walio kama mapanya kutafuta mashimo yasiyokuwa yakwao! Ilimradi tu!

    Nasemaje naitafuta hiyo spell, nikiipata tu nampa rafiki yangu ili aweze kumfunga mke wake.....

    ReplyDelete
  5. wengine wanefanyiwa na wake zao kuwekwa ndani ya chupa akikosea mumewe akiiona yeye anakuwa kichaa, au mtu mwingine akiona basi ujue mme atakuwa mgumba.
    hivi vitu vipo.
    ila sasa na huyu anamtesa bure mtu wa watu.

    ReplyDelete
  6. Hizi ndio teknolojia zetu waafrika.
    his ex-wife should know thats the price of betrayal.

    ReplyDelete
  7. This is nothing but a bad joke, The feat is impossible biologically. Ni ushirikina tu na ukosefu wa elimu ya kisayansia,Let him demonstrate his skills under scientific methods. He will then afford to buy a comb and afford to see a cosmetic dentist
    Wakatabahu

    ReplyDelete
  8. Huyu fundi aletwe Tanzania.

    ReplyDelete
  9. That is great, bad but it is okay for those MACHO MIA MIA. and If there is another one that makes males' parts to disappear would be fantastic for wives having it for their fellas.

    ReplyDelete
  10. Hii hali ya watu kuamini ushirikina mimi inanisikitisha mno. Waafrika inawezekana tuna bahati mbaya sana kwa hilo na ndiyo maana hatuwezi kupiga hatua yoyote ya maendeleo.

    Ukiamini kuwa inawezekana kufanya kinachosemwa kwenye hiyo article, basi utakuwa unasema kuwa hizi scientic facts ni za uongo;

    - Matter can neither be destroyed nor created.

    - Energy can neither be destroyed or created.

    - Effect follows from a cause.

    Na kama utaamini hivyo, basi sina la kukusaidia kwani uko beyond retrieve - endelea na imani zako hizo.

    ReplyDelete
  11. Anony wa 07:22:00

    Naomba nikuulize, Hizo sentence umezisoma hadi mwisho wake?

    Heb jaribu kuunganisha na hizi

    .. but can be changed from one form to another.

    Na hapo ndio hii science ya huyu "Mbantu" inapoibuka, yeye kabadili tu muonekano. Sio kufuta. na huwa temporary. iwe "fizikale"au "saikolojikale" kaweza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...