gavana wa mkoa wa dar mh. william lukuvi akihutubia kwenye mnuso wa dansi na lanchi ya usiku kuchangia elimu kwa wasichana walio kwenye maisha magumu (somesha mtoto wa kike project) katika ukumbi wa mlimani city conference hall usiku huu
unity of women friends (UWF) waliofanikisha
mnuso huu wa somesha mtoto wa kike (SOMKI)
unity of women friends (UWF) waliofanikisha
mnuso huu wa somesha mtoto wa kike (SOMKI)
na mwanae waliwakilisha vyema mkuki na nyota
Michuzi watu wanameremeta kama wapo mamtoni,hata sisi wa huku UK tunaonekana tumechoka kwao.
ReplyDeleteAnyway,ni project nzuri hiyo,ila tu nao wabongo wataanza kuingiza ujanja wa kutia mfukoni pesa,itafika wakati project zitakuwa zasimamiwa na sheikh na mapadre
Michu you just made my day
ReplyDeletenishamwona wife (MM) sasa naweza kwenda kulala kwa kujua azizi wangu yu salama salmin!
maana mwenzio zikipita siku mbili sijamwona humu moyo hunienda mbio kuliko kawaida
Namwona mtu hapo kama Mindi au?naona umechana ile mbaya..life nzuri naona!
ReplyDeleteSOMKI itawabadilisha watoto wa kike wafanane na Wamarekani wa Gazeti la Ebony au wafanane na Waafrika, msaada tutani?
ReplyDeleteMdau
Mwaafrika
Nakuona Galina ...jamani mnapendeza sana..sisters are doing it FOR THEMSELVES !!!
ReplyDeletea supporter of good causes
membership imekaaje?tupeni taarifa kamili tujue vigezo
ReplyDeleteakinamama mko juu safi sana sana,mmependeza munoo,kazeni buti msijali vilanga vya wanaume
hahahaaa wanaume mwaona wake zenu?
jamani wewe anonymous wa tatu unasema umemuona mtu kama mindi? ni mindi yupi? wa weruweru au? hata mimi namfananisha vile
ReplyDeleteHongera sana shemeji Esther W. Je Unity of Women Friends mnayo tovuti? Nimependa sana kujituma kwenu. Duu magoli si kidogo. Alafu ni magoli yanayo jenga. Ndio ubunifu na uongozi huo. Haya na ngoma itambae, mpaka watu washangae.
ReplyDeleteNi mie mdau damu damu wa blogu ya jamii
Haah Anon wa pili umenifurahisha.. kweli huyo MM haipiti siku bila kuwepo humu , aona michuzi ana commision hapo
ReplyDeletemh MM mumewe mzungu hajui kiswahili sasa wewe ni mume mdogo au
ReplyDelete...mbona wanawake wamekaa kivyao na wanaume kivyao?
ReplyDeletemichu na tangazo la kupigia debe wana-CCM wa baadae uyo MM