Baashi ya washiriki wa mbio za mkokoteni wakichuana leo. Mshindi wa kwanza aliibuka Paulo Silivester na Mathias mwakipesile kutoka Namanga Camp, washindi wa pili ni Wagumu halisi na kundi la tatu Namanga Camp,ambao washindi wote hao watatu zawadi zao watapewa kesho asubuhi. Mshindi wa kwanza milioni moja,wa pili anapewa laki tano na mshindi wa tatu anapewa laki tatu
Home
Unlabelled
namanga camp washinda mbio za mkokoteni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...