JK na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali Mzee Rashid Mfaume Kawawa aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili leo jioni. Kulia ni profesa Victor Mwafongo. Mzee Kawawa alipelekwa hapo Muhimbili baada ya kujisikia vibaya na kupelekwa hapo kwa kuangaliwa. Vipimo vinaendelea kujua anasumbuliwa na nini na hali yake ni stable.
Home
Unlabelled
JK na mama salma wamtembelea simba wa vita muhimbili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
I wish you a quick recovery, mzee wangu.
ReplyDeletePole sana mzee wetu kawawa tunakuombea kwa mungu upate afya njema!!!
ReplyDeletemdau north america!
Ugua pole mzee kawawa.
ReplyDeleteRIP MZEE!
ReplyDeleteMzee Kawawa Simba wa Vita ameshatutoka jamani.
ReplyDeleteMdau Tandale kwa Mtogole
RIP mzee wetu.
ReplyDeletePole sana dada yetu Zamaradi kwa kuondokewa na kipenzi baba yako. Tupo pamoja katika wakati huu mgumu uliokuwa nao.
Mwanjaa
Mzee michuzi angalia taarifa inayotolewa kimakosa...maelezo ya picha ya juu yanatakiwa yawekwe chini!!!! muwe mnafanya editiing ya hizi taarifa..
ReplyDeleteRIP Kawawa.
DJ
JK alikuwa ameenda kuchukua wosia. Magwanda yanasema ICU. RIP Kawawa
ReplyDeleteMadaktari walijitahidi ila Hesabu ya mzee ilikuwa imeshafungwa na mungu muumba RIP.
ReplyDeleteTanzania ni nchi kubwa sana nina imani kuwa tungekuwa na facilities kama hizi za kutosha basi tungeweza kuzuia vifo vya watanzania mahospitalini kwa 50%. Ila tatizo ni kuwa Muhimbili ina vitanda 1,000 vya kulaza wagonja na still ICU ina vitanda vinane tu (8 ICU beds). Tujitahidi basi angalau tufikie hata 100 hivi LOL. Natumai JK kajionea mwenyewe alipoenda kumjulia hali ambaye ni marhum Kawawa.