Home
Unlabelled
the jump
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
I CAN UNDERSTAND KWA NINI HAWAKUSHANGILIA MPAKA ALIPOIBUKA TOKA KWENYE HILO DUMU LA MAJI, WALIHISI AME-R.I.P
ReplyDeleteWatu wanaweza ona kama kitu cha ajabu sana. Ila kwa wale tunaoifahamu Physics tunajua kuwa hiyo ni "PROJECTILE", yaani kilichofanyika hapo ni kutengeneza Trajectory njia atakayopitia juu kelekea kwenye dimbwi hewani. Huo mseleleko umetengenezwa kwa ajili ya kupata kitu inaitwa "INITIAL VELOCITY" au mwendokasi mwanzio halafu wakapima na uzito wake kupata kitu kinaitwa "mg" yaani m=mass na g= gravitional force. Baada ya hapo wakapiga mahesabu ya "HORIZONTAL RANGE"-yaani umbali kutoka atakaporukia mpaka atakapotulia wakaweka maji
ReplyDeleteWe PhysiCist acha kamba, what if upepo unaifluence hiyo trajectory? Si anavunjika mtu kiuno huyo baada ya kutua ardhini?
ReplyDeleteMichuzi una maana gani kuweka michezo hii ya hatari? unataga watu waige sio? soccer limetushinda itakuwa michezo hii?
We anon wa Fri Jan 01, 08:56:00 AM
ReplyDeleteTatizo lako ulihudhuria shule tu na ukaishia keepleft cha shule ya uhuru, yaani ulipata "Division Zero" kwa uthibitisho zaidi naomba unieleze maana ya maneno haya uliyoandika.
1. ifluence
2. unataga watu waige
Kwa taarifa yako hizo assumptions unazotaja wewe zinategemea na location pamoja na wind speed (air resistance) ambapo kwa umbo(Body streamline)la huyu jamaa ni negligible. Hivi wewe unajua kitu kinachoitwa "Military"?, unafikiri targets huwa zinapigwa vipi kutokea kwenye manuari za kisheshi "Kilaza" wewe?. Hebu acha "ukilaza" wako kama umekosa cha kuchangia nafikiri ungekaa kimya. Mi nilidhani unakuja na maelezo ya kisayansi kumbe unataka kuleta ubishi wa kwenye vijiwe vya kahawa! rudi shule ukasome English course kwanza kabla ya kukosoa watu usiowajua.