wengi wameitikia wito wa serikali wa kilimo kwanza na profesa mark mwandosya, waziri wa maji na umwagiliaji, ni mmoja wao kama alivyofumwa na mpiga picha wa Globu ya Jamii huko kijijini kwake Lufilyo jimbo la Mwakaleli leo alfajiri akipiga jembe kupalilia shamba lake..Align Center

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Usani huooooo ... Mbeya nalima ukiwa na raba! Zinabaki nyeupeee na suruali haina hata doa????!!! Mpini mrefuuuuu ... hiyo nguvu itapatikana wapi???

    ReplyDelete
  2. mi sijaona shamba apo...kama pori vile..yawezekana mbuzi wake wa xmass kafa wanamchimbia!!hahaha yaani ata mpiga picha anaonekana kabisa wa kuagizwa...

    ReplyDelete
  3. Kijiji cha Prof ni Lufilyo mbali na Mwakaleli

    ReplyDelete
  4. Our Next President!

    ReplyDelete
  5. Mheshimiwa waziri kuhusu suala la mkataba wa mkoloni na nchi ya Misri kuhusu matumizi ya maji ya ziwa victoria, ufumbuzi wake ni mdogo.

    Tanzania itengeneze mfereji mkubwa wa maji toka ziwa victori uzunguke maeneo ya kanda ya ziwa halafu mfereji huo mwishoni urudi na kumwaga tena maji ziwani victoria.

    kwa mfumo huo tutafaidika kufanya kilimo kikubwa cha kisasa kanda ya ziwa, kutumia mfereji(canal) huo kwa usafiri wa majahazi, boti na meli ndogo na pia kutopoteza maji kwa kuurudisha tena ziwani ili huko Misri nako wafaidi kama mkataba wa kikoloni unavyodai.
    Mdau
    Shinyanga

    ReplyDelete
  6. Huyu mzee ndo next president after JK get finnished, he's simple,honest,intelligent,humble,kind and most of all clean na mcha mungu. I wish you all the best prof mark mwandosya kwani hata iwe je kama mungu amekukubalia kuwa rais is a matter of when and not if.
    Mdau USA

    ReplyDelete
  7. Kazi nzuri sana, inaonyesha mfano mzuri. Lakini ilitakiwa atoe hizo raba kwanza awe pekupeku hapo ndo photo inakubali kabisa

    mkulima halisi toka Kiwira tukuyu

    ReplyDelete
  8. Kwa kweli huu ni mfano wa kuigwa, maana watu wanaweza sema ameact, lakini angalia mavazi yako ni ya mtu ambaye amejiandaa kwenda shamba. Huyu ni engineer, Prof, u name the rest, lakini anathamini asili yake kama Hayati Mwalimu alivyokuwa. Anatupa matumaini na tunamuombea Mungu amjaalie!

    ReplyDelete
  9. kijiji ni lufilyo sio Mwakaleli

    ReplyDelete
  10. Bro Mithupu dhamira lazima ikushtaki kwanini mtu anapotoa maoni yanayogusa ukweli huweki hewani!!!!!!!!!!!!!!
    Huu ni ubaguzi wa uhuru unaanza kuniboa nini maana ya globu ya jamii inaelekea pale penye ukweli unakwepa usiwe bayas inaelekea unalalia upande fulani, kama viongozi wanasoma blogu hii ni kioo kizuri cha jamii au kama wamekulipa kuwafanyia kampeni tueleze ili tujue kwani tunajua uchaguzi unakaribia. Ukipenda post message hii ukiona inakugusa jirekebishe mwenyewe na ni kwa faida yako!!! Ukiona unaweza rekebisha andika maneno yako mwenyewe lakini ukweli utasimama palepale!

    ReplyDelete
  11. You know that's why ninasema I love you like my brother kwa kuwa ukichemsha kitu unajirekebisha mara moja. Unafaa sana kuwa Kiongozi wa nchi yetu je unafikiria kugombea nafasi yoyote ya ofisi ili ututumikie wananchi? Blogu ya jamii tupo tayari kukupiga jeki kwa lolote wee tuambie tu ukiwa tayari. Tunapenda viongozi wanajitambua na kujirekebisha right away.
    NI mimi Mdau wa Damu

    ReplyDelete
  12. professor ni malefty? then he will be a president one day coz malefty wengi wanabahati za kuwa marais, Clinton, Obama, tena wanakuwaga marais wazuri tuu, mashotoz hoyee!

    ReplyDelete
  13. Wachangiaji juu hpo, naona ipo haja ya kumpongeza Mh Waziri kwa kuonesha mfano na si kama kila anaeenda shambani awe mchafu jamani, mnasahau kua huyu ni proffesor anajua kila kitu. angalieni mnapotoa maoni sio kukurupuka tu, usafi ni popote.
    Kuhusu pori, jamani si ndo ameenda kuliondoa hpo alikua anaanza kazi hebu kapaangali sasa.
    HYDAR

    ReplyDelete
  14. I'D PRESENT THOUGHT PROVOKING ISSUES THAT PERTAIN TO OUR NATION ECONOMIC DEVELOPMENT CHALLENGES.SO IF INTERESTED,OPINE ON YOUR PERSPECTIVES AS I'LL DESCRIBE THEM CONCISELY AND DISCRETELY STARTING WITH 'AGRICULTURE FIRST' STRATEGY.

    I COULD SHORT-SIGHTEDLY COMPROMISE ON AGRICULTURE FIRST POLICY ONLY BECAUSE IT TRIGGERS CHANGES AND BRING ABOUT MOTIVATION AND EFFORTS TO ENSURE FOOD SECURITY,EMPLOYMENT PROSPECTS IN THE SECTOR,GREEN REVOLUTION AND SELF RELIANT PROSPECTS.

    HOWEVER,CONCENTRATING ON THIS TYPE OF ECONOMIC ACTIVITY,CAN NOT ENSURE PROSPEROUS ECONOMIC FUTURE DUE TO THE FOLLOWING. MASSIVE PRICE FLUCTUATION,LACK OF DYNAMIC IMPERFECT COMPETITION IE AGRICULTURE DEALS WITH COMMODITY COMPETITION THEREFORE PERFECT COMPETITION,DIMINISHING RETURNS IE DISPROPORTIONATE INCREASES IN BENEFITS YIELD TO EFFORTS OR INVESTMENT IE NOT INCREASING RETURNS.

    MOREOVER,THIS TYPE OF ECONOMIC ACTIVITY CREATES FEW SYNERGIES,WAGES REVERSES,LOW GROWTH ACTIVITIES,IT IS BASICALLY UNSKILLED LABOUR AND THEREFORE AT A CERTAIN POINT,UNIT PRODUCTION COSTS WILL ESCALATE.THIS IS WHEN PRODUCING INTO DIMINISHING RETURNS.WE WILL STILL BE POOR FOR NUMBER OF YEARS TO COME.

    THE OPPOSITE TO THE ABOVE ECONOMIC ACTIVITY WILL ENSURE OUR STRATEGIC CATCH UP AND NARROWING OF THE INCOME GAPS WITH THE DEVEPOPED NATIONS.INCREASING RETURN ACTIVITIES,TECHNOLOGICAL CHANGE,INNOVATIONS WILL ENSURE ECONOMIC DEVELOPMENT SINCE IT IS ACTIVITY SPECIFIC AS WE CAN NOT SIMPLY BE WEALTY BY EXPORTING RAW MATERIALS IN THE ABSENCE OF DOMESTIC MANUFACTURING SECTOR.

    THERE ARE OTHER CONTROVERSIAL CASES AND THEORIES I WOULD WISH TO SHARE WITH TANZANIANS SUCH AS TO WHY THERE IS UNWEAVERING SUPPORT FROM IMF AND DEVELOPED NATION ON THIS KIND OF ROUTE OUR LEADERS TAKE,OVERDEPENDANCE ON FOREIGN AID TO OUR OWN DETRIMENT(THE FREE MONEY LIKE OIL REVENUE)FREE TRADE,SEED OF INSTABILITY,STAGES DEVELOPED NATIONS TOOK TO PROSPER AND DO NOT WANT THIRD COUNTRIES TO FOLLOW BY INSTILLING THEIR WRONG POLICIES IN OUR SYSTEM TO BACKTRACK RIGHT POLICY THAT IS LIKELY TO ADVANCE OUR COURSE.ISSUES ON CORRUPTION ETC.WE WILL DISCUSS THEM NEXT YEAR.

    THANK YOU FOR READING AND I'D LIKE TO WISH YOU A MERRY CHRISTMASS AND HAPPY NEW YEAR 2010.

    Mdau ( John ) UK
    daskim@hotmail.com

    ReplyDelete
  15. hongera prof mwandosya ni mmoja kati ya mawaziri wachache ninaowakubali kiukweli ukweli

    ReplyDelete
  16. Mie nafikiri mwamndosya arudi kufundisha wanafunzi.He is under utilized. Huyu anatakiwa akafanye research ili nchi iendelee mbele

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...