Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Siajelewa kichekesho / kituko ni nini hasa. Pale mwisho inaelekea kama kuna kitu cha ajabu inatakiwa tukione ila clip ikaisha.

    hebu anayejua original clip inapatikana wapi atupe link.

    ReplyDelete
  2. waaarusi hao.weshapiga denda gongo a.k.a smirnoff vodka!spasiba comrade

    mdau balkan

    ReplyDelete
  3. ukitaka kuona hao warusi na wakanada nenda www.alaston piilokamera.com au gags just for laugh.utacheka kufa,mdau musomajaji kutiki,

    ReplyDelete
  4. The call it Prank (Practical joke.There is a lot of website where you can find those joke.Just google it Prank.

    kenge

    ReplyDelete
  5. hii yote ni just for laugh, si set up na ndio maana hapo mwisho unaona wanaambiwa usihamaki hii si kweli tumefanya joke tu na tumerikodi! aghalabu vituko hivi hukusanya na vituo vya tv na kuonyesha kama ni burudani. nadhani mdau ulieuliza umenifahamu.

    ReplyDelete
  6. Huyu Mbona kafanana na Dr Liki Abdallah?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...