Wilson Kaigarula
mwandishi nguli Wilson Kaigarula ameibuna na novo mbili kwa mpigo, 'Baa medi' ya kimatumbi na 'The Old Idiot' ya kiinglishi, ambazo zimeshaanza kusambazwa madukani. Kwa maulizo mwandikie email wkaigarula@yahoo.com
ama mtwangie kwenye
+255 713 450 633
mimi nimeshakisoma cha baa medi kinachekesha ile mbaya. vituko vyote vinavyotokea baa utavikuta kwenye kitabu hiki. ukiwa umekasirika ukisoma kitabu hiki utacheka mpaka mbavu ziume.
ReplyDeleteIDIOT !!!
ReplyDeletei remember that kidevu's stories!!sharp mind mr kaigarula. lkn system haipendi watu kama wewe.
ReplyDeleteNitakipataje kitabu cha bar med hapa Usa?
ReplyDeletehii ni email adress yangu davinausa@hotmail.com
yeyote mwenye kujua namna ya kukipata tafadhali nijulishe.
Asante
mdau
Washngot stat
Usa
Fatuma ushawekewa email ya muhusika hapo chini ya hivyo vitabu! nadhan itakuwa rahisi zaidi ukimuuliza muhusika jinsi ya kuvipata! anaweza akakatumia kwa njia ya posta nk! swali lako nini tena?
ReplyDeletemdada JB washington DC
Duh!!!Kaigalula upooo? Ni miaka mingi sijakusikia wala kukutia machoni mwangu. Nilikuwa nikiuona ukipita pale upanga na suti nyeupe miaka ya 80 mwanzoni tunakushangilia tukiwa wadogo. Aise nimefurahi sana kukuona pichani na kisikia kuwepo kwako,
ReplyDeleteMICHUZI
ReplyDeleteSamahani kidogo..huyu mtunzi kitabu naona anafanana sana na Sekioni wa Ze Comedy vipi wanauhusiano? kama hawana uhusiano na labda walishawahi kuishi mtaa mmoja zamani nashauri Seki akapime DNA..
Asante kaka Michuzi kwa kutupa taarifa za nyumbani.Sasa ninaomba kujua kitabu cha Bar medi nitakipataje,napiga boksi ughaibuni ila next week nateremka nyumbani,so nataka nikipate nicheke niwachukulie na wenzangu nikirudi huku tuje tucheke vizuri.Yaani huyo mwanamke alivyobeba tu hivyo vinywaji vimenikumbusha mbaali sana, bar medi akija kumfungulia mwanaume beer anakaa pale pembeni eti sometimes anakuwa anakumiminieni kabisa, aah teh teh kaka zetu mnaraha kwelikweli.Halafu siku ukija umeongozana na mwanamke wako, anakununia walahiii nyumbani kuna utamu na vituko juuu.
ReplyDeleteAsante sana,
mdau wako,
Finland.
nawapenda sana Kaigarula na kwa kiasi kikubwa namfananisha na fadhili mohd aka dogo wa uswazi
ReplyDeletehawa jamaa wameshiklilia fasihi hii ya mwafrika na hasa ya mtu mweuzi. ni wachache ambao kwa wakati huu wa sasa wanafanya kazi dhidi ya upepo uliopo. ni kitu kizuri kilioje kuwa na watu wanaowakilisha kazi zinazzofanana na jamii inayiowazunguka. kulikuwa na agoro anduru pia..mungu amlaze palipo pema.....
ni wakati lakini jamii ya watanzania imeshtuka na kugundua kuna haja ya kulinda tunu nyingi zilizokuwa zinapotea. tunawashukuru pia tbc kwa kushikia kidedea hilo...tunaona sasa kuna na matamasha ya ngoma hapa na pale na watu wameanza kuukubali utamaduni wao...mungu ibariki tanzania.