MAREHEMU ETHRO GADAU WELLA

Miaka miwili imepita, tarehe 07 August 2008 tunaikumbuka kwa uchungu mkubwa ambapo mpendwa wetu Ethro Gadau Wella ulituaga na kutuacha mme, watoto na wajukuu wako.

Ijapokuwa tunaendelea kukulilia kwa majonzi na huzuni kubwa, lakini Mwenyezi Mungu alikupenda zaidi na tunamshukuru kwa kila jambo hususan faraja kubwa na nguvu anazoendelea kutujalia huku tukiwa na matumaini ya kuwa ipo siku tutaonana.

Misa ya kumwombea itafanyika Jumamosi, tarehe 07 August 2010 saa 01.00 asubuhi katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Gaspary, Mbezi Beach, Dar es Salaam.

Bwana alitoa, Bwana alitwaa, Jina lake lihimidiwe
Amina

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...