Michuzi it seems you didn’t find the news on loose Python in Dar city fascinating? Well I did, please do put a piece of the news on the blog for fans' contributions.

Poor boy scouts who were entrusted to watch over it have now been tasked to find it 24/7 and are also required to write a report to explain why they didn't keep a very good watch.
I have not heard a word from the permanent secretary of Ministry of Natural Resources giving assurance to people over their safety. Shouldn't he/she resign for endangering people’s life, assuming it hasn’t swallowed a child yet!.
On the other side, my kid at nursery school are planning demonstrate today to ask the Government to spare the snake, capture it and release it into the Mikumi national park, it is great for our ecosystem. I bet animal right activists will support that too. Keko resident would most likely kill it on spot.

Joseph Sheffu,
Dar es Salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. sasa mbona hujasema ni maeneo gani haswa huyo chatu kapotea??au ndio huko KEKO?

    ReplyDelete
  2. .....ni pale kwenye Wizara ya Maliasili na Utalii maeneo ya Keko, kati ya darajani na petrol station ya oilcom ndipo alipotorokea, so mdudu huyu inasemekana yupo mitaa ya hapo keko bondeni, emagine kulivyojazana nyumba pasopo mitaa.....then kumetolewa onyo lisilo rasmi na wahusika kuwa watu wawe careful na kuku na mbwa wao, sasa sjui vipi kuhusu binadamu!!

    Nawakilisha!

    ReplyDelete
  3. Next time ensure to reveal the source of the information when you sent such an alert

    Observer

    ReplyDelete
  4. Some headline front page ya "The Citizen" ya leo. Ni huko Keko Machungwa. Chatu huyo ni yule aliyekuwa Saba Saba sasa alikuwa yuko Transit kupelekwa Nane Nane huko Dodoma wakawa wamemweka pale Ivory Room jengo la Ministry of Natural Resources na kuchekesha waliwaweka Boy Scouts wamlinde asitoroke, sasa masikini Boy Scouts walipitiwa wakalala kuamka Chatu hayupo. Kasheshe, watoto wa Keko walimwona asubuhi lakini aliwapotea. Nimeangalia website ya the citizen naona hawaja-update news, bado wako na habari ni za jana tu.

    ReplyDelete
  5. Kama una link ya hiyo habari tuletee. Vipisi vya habari vinazua tu maswali mengi. Huyo chatu alitoka wapi kwa nini na kwa vipi? Kapotelea wapi na kwa namna gani?.....?

    ReplyDelete
  6. nashauri tutumie kiswahili zaidi

    ReplyDelete
  7. We uliyetoa taarifa maana yake nini usipotaja eneo ambalo huyo chatu alikuwa? Dsm siyo kijiji.

    ReplyDelete
  8. duh sasa hawa maliasili wanataka kutumaliza! mimi naishi maeneo ya mbezi kwa msuguri kuna tetesi kuwa simba wawili wametoroka kama vile chatu alivyotoroka na wapo mtaani wakivinjari! je usalama wetu nani anaulinda?

    ReplyDelete
  9. Tarehe Fri Aug 06, 12:43:00 PM, Hizi habari nazisikia na mimi pia. Vile vile kuna Game scout maeneo ya Kibamba wanasema wanasaka simba toka uwanja wa Sabasaba. Kama ni kweli twafa kwani wengine wetu twaamka saa 10.00 kuwahi mabasi, ukikutana naye si ndo inakula kwako?!!

    ReplyDelete
  10. Hiyo ni hatari sana. Bongo umakini sifuri kwenye kila kitu.
    Wabongo wengine nao, unapasha habari kama hii kwa kingereza tena eneo la tukio KEKO, ingekuwa MASAKI sijui ungetumia KI-SPANISH au? Nenda na kingereza chako cha dictionary..alaaaaah! nimekasirika

    ReplyDelete
  11. Kiingereza chenyewe cha kuungaunga...hahaaha kwa nini usitumie KISWAHILI?????

    ReplyDelete
  12. KWA HABARI ZAIDI KUHUSU CHATU HUYO fungua Website ya The citizen http://www.thecitizen.co.tz/news.html

    Ikifunguka upande wa kulia juu yako fungua webpage ya "The Citizen Digital Paper" angalia gazeti la leo 6 Aug 2010 front page. Thanks.

    ReplyDelete
  13. wadau MSIOGOPE ki-ivo...uyo PYTHON hanaGA sumu huyo...so ukikutana nae we jifanye ka hujamuona vile na yeye atashika hamsini zake na wewe unakula hamsin zako mchezo unakwisha!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...