Anaitwa Lil' Kim ambaye atakuwepo kwenye tamasha la Fiesta Jipanguse 2010 linalofanyika Jumamosi hii katika viwanja vya Leaders Club. Kiingilio 10,000/ ukiwahi kununua mapema, mlangoni ni 15,000/=

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. wakishajichokea huko kwao ndo wanataka kuja Dar. anyways acha aje watu tumwone

    ReplyDelete
  2. Sasa anakuja na wimbo upi oldies? coz mie sikumbuki kubamba kwake hivi karibuni. why not Iyaz, Gyptian Minaj etc

    ReplyDelete
  3. Huyu mara mwisho alitoa single lini?? achilia mbali albam. Damn

    ReplyDelete
  4. Lil kim hajachoka wala nini, bado yuko juu,hata kama unamuona kachoka bado ana jina kuuuuubwa pia!! wacha aje bongo kusababisha....ningekuwepo nisingemiss

    ReplyDelete
  5. na nyie nanyi hampendeki? sas mnataka waje kama cherry cole apate maleria? AFADHALI SI AJE MPATE KUONA HIVO VIJISIDIRIA VYAKE

    ReplyDelete
  6. Hana jipya na wandaaji hawana salio ndo maana wanahangaika kutafuta masalia,clouds,try kuconvince sigara wawape udhamini usio na shaka,hao wahindi wanachungulia pesa zao,hawawezi kuwaleta latest artist like justin beiber,beyonce,bora mlete mtu km r.kelly hits zake never kuchosha!nadhan waandaji hii ni chalenge vinginevyo fiesta itakua huko mikoani tu!how come eti lil kim!!!ipo siku mtatuletea band ya kajumulo fiesta!

    ReplyDelete
  7. kwa nini msimlete nickiminaj??? huyu ashachuja wabongo bwana!!

    ReplyDelete
  8. SASA UKISHACHUNGULIA HIVO VISIDIRIA UPATE NINI? WABONGO SIE TUNA MAWAZO YA AJABU YAANI MPAKA INAKIRIHISHA,,,

    ReplyDelete
  9. wabongo siku zote hawakosi la kusema,hutaki kwenda acha,kashfa kibaaaao,dem mkali huyo na mpiganaji ,mi lazima nikamuone tu.

    ReplyDelete
  10. the fact z that,have ever see her live performance?? I will be there

    ReplyDelete
  11. Atawadunda huyu ....huku kila mtu anamjua kwa kwa shari...toka ametoka jela mweeee kapunguza kidogo ...alikua kwenye dancing with the star last year...hii picha ya long kidogo kwa vile sasa hivi anaonekana mtu mzima sana tu..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...