Mgombea Mwenza wa Urais wa kwa tiketi ya CCM, Dk. Mohamed Garib Bilal, akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Migoli Wilaya ya Iringa Vijijini katika Jimbo la Isman, Mkoa wa Iringa.
Mgombea Mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akiagana na Madiwani wa Tarafa ya Kalenga Iringa Vijijini, baada ya kumaliza mkutano wa kampeni leo.
Mgombea Mwenza wa uris kwa tiketi ya CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akifurahia ngoma ya asili iliyokuwa ikichezwa na wananchi wa Kijiji cha Mabaoni wakati wa mapokezi yake alipofika kufanya mkutano wa kampeni katika Wilaya ya Mufindi leo.
Wananchi wa Kijiji cha Mabaoni Kata ya Makungu Wilaya ya Mufindi Mkoa wa Iringa, wakimsikiliza mgombea mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, alipokuwa akiwahutubia katika mkutano wa kampeni leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...