Mkurugenzi wa Wateja wadogo na wakati wa Benki ya CRDB Bi.Nelie Ndosa akikabidhi jezi kwa Mkuu wa Mafunzo wa jeshi la Wananchi wa Tanzania, Meja Jenerali Lioba, katika sherehe fupi iliyofanyika makao makuu ya jeshi hilo Upanga, jijini Dar.Jezi hizo zitatumika kwa ajili ya wanajeshi wa Tanzania waliopo huko Darfur, Congo na Lebanon. Mkurugenzi wa Wateja wadogo na wakati wa Benki ya CRDB Bi.Nelie Ndosa akikabidhi miamvuli kwa Mkuu wa Mafunzo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Meja Jenerali Lioba,katika sherehe fupi iliyofanyika makao makuu ya jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Upanga, jijini Dar.Miamvuli hiyo ni kwa ajili ya wanajeshi wa Tanzania waliopo huko Darfur,Congo na Lebanon

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nataka kusahisha hiyo taarifa uliyo andikwa hapo juu michuzi,ni kwamba Tanzania hawana askari wa JWTZ nchini Congo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...