Mwenyekiti wa Hospitali ya Regency Dr. Rajni Kanabar (wa pili kutoka kulia) akitoa utambulisho kwa waandishi wa habari juu ya ujio wa madaktari bingwa kutoka India ambao watashirikiana na madaktari wa hospitali hiyo kutoa huduma za magonjwa mbalimbali yakiwemo magonjwa ya mifupa na viungo, moyo, figo na magonjwa ya mfumo wa njia ya mkojo leo jijini Dar es salaam. Kutoka kulia ni Dr. Rajesh Pandit mtaalam wa magonjwa ya moyo, Mwenyekiti wa Hospitali ya Regency Dr. Rajni Kanabar, Kaushal Mishra Daktari Bingwa wa tiba za Mifupa, Dr. Avinash Ignitius mtaalam wa magonjwa ya figo na Dr. Aman Gupta ambaye ni daktari bingwa wa magonjwa ya mfumo wa haja ndogo.
Mwenyekiti wa Hospitali ya Regency Dr. Rajni Kanabar (kulia) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya uimarishaji na utoaji wa huduma za magonjwa mbalimbali yakiwemo magonjwa ya mifupa na viungo, moyo, figo na magonjwa ya mfumo wa njia ya mkojo kwa kushirikiana na mataktari bingwa kutoka nchini India leo jijini Dar es salaam. Kushoto ni meneja wa mifumo ya komyuta ya hospitali hiyo Jingne Oza.
kwa habari kamili
BOFYA HAPA

hakuna wamatumbi? hiyo hospitali ni Delhi au Dar? anyway, madaktari wa kimatumbi longolongo sana, hawachelewi kuomba kitu kidogo....
ReplyDeletesasa untaka matibabu au umatumbi? kama unataka hivyo nenda muhimbili ukafe
ReplyDelete