Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Benki ya CRDB, Bi.Tully Esther Mwambapa akimkabidhi Mkuu wa kitengo cha Usalama barabarani cha Jeshi la Polisi Kamishna Msaidizi Mohamed Mpinga mojawapo ya vizibao 500 vilivyotolewa na benki hiyo ambavyo vitatumiwa katika mpango mpya wa jeshi la polisi wa kusaidia wanafunzi katika vivuko vya barabara "Scholar Patrol"
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Benki ya CRDB, Bi.Tully Esther Mwambapa akizungumza katika hafla hiyo, kulia ni Mkuu wa kitengo cha Usalama barabarani cha Jeshi la Polisi Kamishna Msaidizi Mohamed Mpinga
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Benki ya CRDB, Bi.Tully Esther Mwambapa na Mkuu wa kitengo cha Usalama barabarani cha Jeshi la Polisi Kamishna Msaidizi Mohamed Mpinga wakifurahi baada ya kukabidhiana vifaa hivyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. jamani nchi yetu itapata neema tukianza kuelewa umuhimu wa VULNERABLE groups hasa kuinvest kwa watoto kuliko kwa wenye nafasi ndo matumbo mbele.HEKO KWA BANK YETU.

    ReplyDelete
  2. Kaka huyo Tuli me huwa namzimiaga sana huyo!

    Sijui nifanyeje!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...