Mwaendeshaji wa mtandao wa MAX COM,Juma Rajabu akitoa ufafanuzi juu ya matumizi mtandao wake katika mkutano wa wataalam wa ICT uliofanyika leo jioni katika ukumbi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia,Kijitonyama jijini Dar.
Mmoja wa waanzilishi wasimamizi wa mtandao wa Mobile Monday (MoMo),Anthony Kigombola akizungumza katika mkutano wa wataalam wa ICT uliofanyika leo jioni katika ukumbi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia,Kijitonyama jijini Dar.Mmoja wa waendeshaji wa mtandao wa E FULUSI AFRICA,Hafiz Juma akitoa ufafanuzi juu ya matumizi mtandao wao kwa matumizi ya kijamii katika mkutano wa wataalam wa ICT uliofanyika leo jioni katika ukumbi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia,Kijitonyama jijini Dar.
Kiongozi wa Mkutano huo kwa siku ya leo,Dr. Raphael Mushi akitoa ratiba na mpangilio mzika wa mkutano huo.
ili kushiriki makongamano hayo ya ICT inabidi mtangazie umma walau kabla ya siku mbili, haina maana kutuletea picha tayari nyie mmeshashiri. next time tangazeni mapema na sisi tushiriki
ReplyDeleteWe anon wa hapo juu inaelekea wewe si mdau wa ICT. Ungekuwa mdau wa kweli ICT ungekuwa ushatembelea website yao na kujiunga kwenye mailing list ili kupata taarifa za mikutano, n.k.
ReplyDelete