Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya wanawake 'Twiga Stars' wakifanya mazoezi leo asubuhi kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam, ikiwa ni maandalizi ya timu hiyo kwa ajili ya michuano ya awali ya kusaka tiketi ya kucheza fainalio za kombe la mataifa ya Afrika. Picha na Chachandu Daily

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Huyu mpiga picha hana nidhamu kabisa!! Kwa nini alianzia nyuma!!???

    ReplyDelete
  2. Ndio maana huwa hatufiki mbali, angalia wanavyopanua kidogo miguu yao. Ni mmoja tu ndio anafanya kwa uwaminifu.

    ReplyDelete
  3. Hayo si mazoezi mazuri kwa mwanamke, hii ndio maana tunafungwa!!

    ReplyDelete
  4. Michuzi unatutega

    ReplyDelete
  5. Huyo anayewafanyisha hayo mazoezi ni mwanamke au mwanamume? Anaweza asiconcentrate kwenye mazoezi kama ni dume!!!!!?

    ReplyDelete
  6. Michu, we mkubwa sasa, pamoja na angalizo Ankal bado unabandika taswira hii!

    ReplyDelete
  7. Mbona safi tu hapo..si mazoezi tu...hayo mengine mnaleta ninyi..!

    ReplyDelete
  8. Mbona timu ya wanaume wakifanya mazoezi kama haya mepesi hatuongei???

    ReplyDelete
  9. Kwaresma hii michuzi, mwezi wa toba huu, sisi wagalatia unatuweka kubaya , si ungesubiri hata sherehe za uimbaji wa injili wa pasaka ipite, unatutolea udhu mkuu

    ReplyDelete
  10. Ni kweli wamevaa vizuri tu na kila kitu kiko intact. Tatizo wengine tuliozoea masarakasi kama hayo tukiona mikao kama hiyo mawazo yanahamia kwenye masarakasi hayo. Msitushangae ndivyo tulivyoumbwa.

    ReplyDelete
  11. Kwa kweli nimenaangalia hii picha, du!! nadhani mpigaji alikua na lake jambo

    ReplyDelete
  12. hapo ushuzi unaeza uponyoke

    ReplyDelete
  13. Ushuzi dawa yake kutema mate. Mr.Ukuni

    ReplyDelete
  14. kingangitiApril 15, 2011

    kushauri tu tuone ktk u-tube nimekosea mpaka hujaweka oni langu poa ankal.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...