Home
Unlabelled
twiga stars mazoezini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu mpiga picha hana nidhamu kabisa!! Kwa nini alianzia nyuma!!???
ReplyDeleteNdio maana huwa hatufiki mbali, angalia wanavyopanua kidogo miguu yao. Ni mmoja tu ndio anafanya kwa uwaminifu.
ReplyDeleteHayo si mazoezi mazuri kwa mwanamke, hii ndio maana tunafungwa!!
ReplyDeleteMichuzi unatutega
ReplyDeleteHuyo anayewafanyisha hayo mazoezi ni mwanamke au mwanamume? Anaweza asiconcentrate kwenye mazoezi kama ni dume!!!!!?
ReplyDeleteMichu, we mkubwa sasa, pamoja na angalizo Ankal bado unabandika taswira hii!
ReplyDeleteMbona safi tu hapo..si mazoezi tu...hayo mengine mnaleta ninyi..!
ReplyDeleteMbona timu ya wanaume wakifanya mazoezi kama haya mepesi hatuongei???
ReplyDeleteKwaresma hii michuzi, mwezi wa toba huu, sisi wagalatia unatuweka kubaya , si ungesubiri hata sherehe za uimbaji wa injili wa pasaka ipite, unatutolea udhu mkuu
ReplyDeleteNi kweli wamevaa vizuri tu na kila kitu kiko intact. Tatizo wengine tuliozoea masarakasi kama hayo tukiona mikao kama hiyo mawazo yanahamia kwenye masarakasi hayo. Msitushangae ndivyo tulivyoumbwa.
ReplyDeleteKwa kweli nimenaangalia hii picha, du!! nadhani mpigaji alikua na lake jambo
ReplyDeletehapo ushuzi unaeza uponyoke
ReplyDeleteUshuzi dawa yake kutema mate. Mr.Ukuni
ReplyDeleteLOL!
ReplyDeletekushauri tu tuone ktk u-tube nimekosea mpaka hujaweka oni langu poa ankal.
ReplyDelete