Ankal akisalimiana na Waziri wa Nishati na Madini Mh. William Ngeleja (juu pamoja na mpiganaji Chrisi Mfinanga) wakati wa ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani alipotembelea mtambo wa kufua umeme wa Symbion Power huko Ubungo, Dar es salaam, Jumapili iliyopita.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 14, 2011

    sasa Anko cha kukushangaza hapa ni nini! mbona taito yako ni kubwa kuliko Ngeleja. Wewe na yeye nani maarufu duniani? Alaa usijishushe yeye ndo angeomba kupiga picha na wewe sio wewe kuomba kupiga picha naye! ala!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 14, 2011

    Anon wa kwanza ana point, Michuzi mimi nimeanza kukusikia long long long time ago.

    Jua Kali

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 14, 2011

    Michuzi
    Shati safi sana, ukilifua mweke chokidari kulilinda maana lita walk away.
    Kisha umetutia aibu mno kuvaa shati hilo. where is ze fulanas au ilikuwa bado iko kwa dobi

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 15, 2011

    thanks for the change michuzi
    i mean leo nimekuona watofauti na sharti lako, lizuri na limekupendeza
    dd

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 15, 2011

    Shati ni zuri naona hata mheshimiwa kalitupia macho japo kwa ngebe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...