Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 14, 2011

    Da.....

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 14, 2011

    Party ya Mbongo miziki ya kizaire????!!!! Taaaaaaabu kwelikweli, yaaani siamini muzik fan kama wewe hujaona miziki mizuri ya kibongo ya kupiga kwenye birthday yako. very disapointing
    Ok Endelea kutangaza miziki ya kizaire, kwani wabongo ndivyo tulivyo, kazi yetu ni kuthamini na kutukuza vya wenzetu.
    bytheway happy bithday hope u had fan.u know the only way to live longer is to enjoy ya life and that is exactly what ya doing.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 15, 2011

    hongera sana kusaga kwa kusheherekea siku yako ya kuzaliwa.

    umenipa fundisho,
    mbongo mwenzio kutoka Houston.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 15, 2011

    haya huyo jamaa ndiyo joseph kusaga mimi nilifikiri yule mwanzilishi wa kituo cha clouds ndiyo mwenye sherehe naomba nifahamishwe

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 15, 2011

    huyo ni Joseph kusaga mtoto wa mwanzilishi wakituo cha clouds,i mean muasisi wa clouds ni hayati mzee Alex kusaga....na huyo ni kijana wake ambae ni msimamizi mkuu wa kituo cha clouds,pia ni mdogo wa Justin Alex kusaga mzee vuta raha......
    By Jose Kundi-Arusha city.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 15, 2011

    Congratulation Mr Joseph Kusaga,mungu akuzidishie miaka mingi ya amani na upendo..

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 15, 2011

    Sasa mbona hamjasema miaka aliyofikisha au ndio nanihii...

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 15, 2011

    Watanzania ushamba.com...sasa huyu kwenye Micro alikua anafanya nini anaimba Wenge?? Hebi Besdei muzee wa muji.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 15, 2011

    pombe mbaya kweli!!mcheki Gerald Hando hapo kashazima kabisa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...