Uongozi wa Tanzanian Muslim Community Washington Metropolitan (TAMCO), unapenda kuwatangazia na kuwaalika nyote kwenye TAMCO Family /Picnic Day.
Njoo tujumuike pamoja na Kuinjoy nice summer day.
Jiunge nasi kwenye gathering; Kutakuwa na michezo mbalimbali kwa wakubwa na watoto, Nyama choma na Maanjumati na wakadha wakadha.
USISAHAU MFUKO WA RAMBO
Jumapili ya tarehe 10 July 2011 kuanzia saa nane mchana mpaka saa tatu usiku (2:00PM - 9:00PM).
Hillandale PAB - Hillandale Local Park :
MD 20903
Wenu Uongozi
Tanzanian Muslim Community in Washington DC Metropolitant.
Phone : 301-613-5165
uongozi@tamcousa.org
www.tamcousa.org
Ahsante Mama Mwanaidi Maajar
ReplyDelete