Mbunge kutoka baraza la wawakilishi, Mh. Mussa Hamisi Silima apata ajali Dodoma jana jioni akitokea Dar es salaam kuelekea Dodoma akiwa na familia yake. Kwa mujibu wa Spika Anne Makinda, Mkewe Mwanaheri Fahari, amefariki dunia. Mh Silima alikuwa ametokea zanzibar kwenye mazishi. 

Maiti na Majeruhi wanatarajiwa kusafirishwa asubuhi hii kwa ndege kwenda Zanzibar.

Mola aiweka Roho ya marehemu mahali pema 
peponi na awajaalie walioheruhiwa kupata ahueni haraka

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ishallah mungu amsamehe madhambi yake marehemu na amlaze mahala pema peponi amin

    ReplyDelete
  2. I can imagine, msiba juu ya msiba. poleni sana

    ReplyDelete
  3. Ina lilah waina ilaihi rajiun, poleni sana kwa msiba inshallah Mungu amjaalie pepo.

    ReplyDelete
  4. Mwenyezi mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi Amin

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...