Mdau Phillip Cyprian  na mai waifu wake Bi. Usu wakila kiapo cha ndoa yao takatifu iliyofanyika mwishoni mwa wiki,jijini  Dar huku kushoto na kulia wakiwa ni wapambe wao wakishuhudia tukio hilo.

 Mfanyakazi wa TBC,Phillip akiwa katika pozi  na mai waifu wake Usu mara baada yakumeremeta 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...