Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Alhaj Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na wazee,pamoja na wananchi wa kijiji cha Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba,baada ya kufutari pamoja na wananchi hao katika futari maalum aliyowaandalia katika viwanja vya Skuli ya Mkanyageni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Alhaj Dk Ali Mohamed Shein,akiwa katika futari na wananchi wazee wa kijiji cha Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba,aliyowaandalia katika viwanja vya Skuli ya Mkanyageni.
Baadhi ya wananchi na waumini wa Dini ya kiislamu wa Kijiji cha Mkanyageni na vitongoji vyake,wakifutari pamoja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Alhaj Dk Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Skuli ya Mkanyageni, na zaidi ya wananchi.Picha na Ramadhan Othman,IKULU-Zazibar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. jamani ftari hairuhusiwi mboga za majani?

    ReplyDelete
  2. Jamani mi nashauri hizi futari mzipeleke Somalia kuna wislamu wenzenu wanakufa kila siku njaa, na wazazi wanajiua kwa kutotaka kuangalia watoto wao wakikata roho kwa njaa. Please Watanzania+Wazanzibar acheni kujipendelea hutaamini ukiona kwenye Tv watoto walivyo. Huku ughaibuni wanatangaza kwenye Tv zote yanayoendelea Somalia tena wanasema East Africa. Je nyie mnajisikiaje wenzenu wanavyo acha kunywa a cup of tea/coffee kuwasaidia wananchi wenu? Na mtapewa misaaada hadi lini? Mbona Africa ina alot of resources kuliko nchi za ughaibuni. Mungu anambariki atoae kuliko apokeae. Inanihuzunisha. Du mko kimya viongozi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...