Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzanzia 2011, wakimsikiliza Mkurugenzi wa Vodacom Kanda ya Kaskazini, Nguvu Kamando akiwapa maelezo mbalimbalimbali kuhusiana na mitambo ya kurushia mawasiliano ya simu ya kampuni hiyo iliyopo mjini Arusha wakati warembo hao walipotembelea kituo hicho jana.Warembo hao wapo katika ziara ya kimafunzo na kutembelea vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii wa ndani Kanda ya Kaskazini
 Maelezo yakiendelea
Sababu ya simu za Vodacom kutosumbua ni mitambo ya kisasa....wanaambiwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. warembo jaribuni kuvaa vizuri,kuwa mrembo haimaanishi kuvaa nusu uchi jamani

    ReplyDelete
  2. Mtoa maelezo yuko hoi,anajikausha tu lakini malavidavi. Anapata wakati mgumu, angalia picha ya tatu

    ReplyDelete
  3. Mshale wa uzazi umemsimama...pich ya tatu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...