Mwanalibeneke Maggid Mjenjwa akiwa na familia yake na mdau mwingine eneo la NSSF Miyomboni mjini Iringa kama alivyonaswa na kamera ya Francis Godwin mchana huu akiwa katika heka heka za kila siku. Maggid ni mwanzilishi wa blogu za mikoani ambapo baada ya kurejea kutoka Sweden na kuamua kufanya kazi zake vijijini hususan vya mkoa wa Iringa, amehamasisha wengi wa mikoani na vijijini kuanzisha Libeneke

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...