Mhe.Filipe Nyusi ,Waziri wa Ulinzi wa Msumbiji akiweka sahihi kitabu cha maombolezi ya waliopata ajali ya Meli huko Zanzibar hivi Karibuni,kwenye ofisi za ubalozi wetu mjini Maputo,Msumbiji.
 Mhe.Balozi Ngaiza na Mhe.Waziri wa Ulinzi wa Msumbiji, Bw.Filipe Nyusi wakijadiliana jambo.
 Mhe.Balozi Prince Tshekedi wa Swaziland akiweka saini kitabu cha Maombolezo ya waliopata ajali ya Meli Zanzibar,kwenye ofisi za Ubalozi wetu mjini Maputo,Msumbiji.
 Mwambata wa Jeshi wa Zimbabwe akiweka sahihi kitabu cha Maombolezi.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Mjini Maputo,Bw.Njama Bakari akiweka saini kitabu cha Maombolezo ya waliopata ajali ya Meli huko Zanzibar,kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Msumbiji.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...