M-Lab Records wanaadhimisha miaka mitatu tangu kuanzishwa kwao leo hii pale Mbalamwezi Beach Club. Sherehe zinaambatana na uzinduzi wa tovuti yao: www.mlabrecords.com, sehemu ambayo mashabiki wa kazi zao watapata nafasi ya kufahamu yanayojiri kutoka "maabara". Nyimbo, videos, mahojiano na mambo kadha wa kadha kuhusu wasanii wao yatakuwa yanapatikana pale. 
                                                                                  Wote mnakaribishwa!
                                               www.mlabrecords.com 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...