Wataalam wa Ujenzi wa Barabara nchini wakiwa katika mwendelezo wa kazi yao ya upanuzi wa Barabara ya kutokea Segera mpaka Tanga mjini,ikiwa ni sehemu ya kuliendeleza jiji hilo na kuonekana la kisasa zaidi.
 Kazi ikiendelea 
 Wataalam hao wakifanya kipimo cha barabara hiyo ili kuhakikisha inakuwa inanyooka vyema.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Twashukuru saaana kwa serikali ya mh. kikwete kwa kutupanulia barabara hii ili kutupunguzia vifo jamani ila kama mkandarasi ndo huyu huyu alojenga njia ya chalinze segera hafai kwani njia imebabuka na sasa anatia viraka njia nzima.

    Kingine ankal ni hivi vi NOAH vya tanga to korogwe, twapangwa kama makopa na vigoda juu askari wa usalama barabarani wanaona na wananyamaza baada ya kupewa kitu kidogo. Huyu kamanda wa mkoa wa sasa hafanyi kazi yake si kama Siro, afuatilie vijana wake la sivyo hata barabara ipanuliwe vipi itakua kazi bure. Asikae ofisini tu.

    ReplyDelete
  2. barabara nyembamba sana hiyo angalia nafasi iliyo achwa humo pembezoni inakazi gani.kesho na keshokutwa watu wataanza jenga kando kando ya hiyo barabara,wenzao wazungu wanatumia Advantage ya kulipasua poli kama hilo.kamanyola bila jasho,hakuna hasara za uvunjaji wa aina yoyote,then bila ya kuwasahau watembea kwa miguu na baiskeli pembezoni mwa barabara.

    ReplyDelete
  3. WEKA EXTRA LANE(LEFT&RIGHT) KWA MAGARI MABOVU YANAYOHARIBIKA BARA BARANI/TRAFIC POLICE AU (EMERGENCY)WAPANDA/WAENDESHA PIKIPIKI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...