Mhe. Balozi Begum Karim Taj akiwakilisha Hati zake za Utambulisho leo tarehe 10/01/2011 kwa Mhe. Prof. Anibal Cavaco Silva, Rais wa Jamhuri ya Ureno. Shughuli hii imefanyika Lisbon, Ureno.
Picha ya pamoja baada ya Balzoi Taj  kukabidhi hati ya utambulisho

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Tunaomba maelezo zaidi akiwasilisha hati ya utambulisho tokea wapi?

    ReplyDelete
  2. duh apo ukikosea suti tuuuuu!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. wenzetu wareno sare hadi kwenye kuwakilisha hati!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...