Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mzee Hamza hapo umenena, kwa kubebab box sio kitu kibaya, ila ni kazi isiyoenda na fani yako, mara kwa mara. na kwamba hat awazungu wenyewe wanafanya kazi hizi, hasa wanafunzi, tokea wa primary kupata kipato chao, wakati sisi kila kitu unaomba kwa wazazi hadi ukiwa university. zaidi, sio marekani tu, ila nchi zote za magharibi na Asia, hakuna kudharau kazi.labda la kukumbsha ni kuwa kipato chake kikubwa sana ukilinganish ana wanaovaa suit nyumbani, kipato duni cheo kikubwa.

    ReplyDelete
  2. tehe teh, mabavu zangu mie. mdau umenifurahisha eti title kuubwa kipato duni, misifa ya bure tu, hao hao ndio hawaishi kuomba mara nisaidieni ada ya watoto, mara shida hii mara shida hii, wabongo bwana. wengi wana ukungu kwenye akili zao, Madau USA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...