Mwanasiasa mkongwe nchini,Alhaji Mustafa Songambele (katikati) akizima mshumaa wakati wa hafla fupi ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa (birthday) baada ya kufikisha umri wa miaka 87.kushoto ni mke wake Bi Mwaya Kondo.
Mama Mwaya Kondo (kushoto) akimsaidia mumuwe Alhaji Mustafa Songambele kukata keki wakati wa kuisherehekea siku yake ya kuzaliwa na kutimiza umri wa miaka 87.
Alhaji Mustafa Songambele akionesha upendo wa dhati kwa mkewe mama Mwaya Konddo kwa kumlisha kipande cha keki wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 87 ya kuzaliwa kwa Mzee Songambele iliyofanyika nyumbani kwake mjini Songea.
Bi Mwaya Kondo akimpiga busu Mumewe ikiwa ni ishara ya upendo wao baada ya Alhaji Songambele kutimiza miaka 87 ya kuzaliwa.
Alhaji Mustafa Songambele na mkewe Mwaya Kondo wakiwa katika picha ya pamoja na ndugu na jamaa waliofika katika sherehe fupi ya kutimiza miaka 87 ya kuzaliwa kwa mwanasiasa huyo mkongwe hapa nchini.PICHA NA MUHIDIN AMRI-GLOBU YA JAMII,RUVUMA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 31, 2012

    Happy birthday Babu...Mungu akubariki.

    ReplyDelete
  2. Chenz NtembaaMay 31, 2012

    Jamani TATU singambele alikuwa TANESCO yuko wapi siku hizi?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 31, 2012

    rahman akubarik leo na kesho na akupe siha na umri mrefu uliojawa na furaha tele amin

    mdau new york

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...