TIMU YANGU YA WATOTO WA KIKE WA MIAKA 16 WAMESHINDA UBINGWA WA WSHINGTON STATE CUP NA WAMEPATA NAFASI YA KUSHINDANA KWENYE KUGOMBEA UBINGWA WA TAIFA LA MARECAN AMBALO MWAKA JANA TUMESHIKA NAFASI YA NNE THENKX ONE LOVE IS LAW.
Alex Kajumulo, The Bushman
Social Justice for all Humankind

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 02, 2012

    hongera kaka lakini si ungechukua japo dada yetu mmoja kutoka tanzania ama japo africa naona weupe watupu tu hapo

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 02, 2012

    hongereni kwa ushindi, lakini wamarekani wenye asili ya kiafrika hawataki kujihusisha kwenye michezo?
    Jaribu kuwahamasisha, kazi yako ni nzuri!

    ReplyDelete
  3. thenkx kwanini ninayo timu ya wazungu watupu ni kuonyesha wa africa kwamba hata mtu mweusi ana uwezo wa kufundisha wazungu na akawa na mafanikio kwa sababu watu weusi wengi na serikari za kiafirika zinadhani wazungu ndio wenye uwezo wa kila kitu hii ni timu yangu ni jina langu na ni nguo zangu na ni ufundi wangu na ni vision yangu na ni uongozi wangu ulio leta mafanikio haya.Nadnani nimejibu

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 02, 2012

    I don`t get it, siye tunapigana kila siku kuweka equal, or even near equal opportunities, wewe unabagua, anyway ni pesa zako etc, you can do whatever you want, Inasikitisha na inatia AIBU.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 02, 2012

    mmeshinda vipi wakati timu yenu iko ktk nafasi ya tano kati ya saba? http://www.pugetsoundpremierleague.com/schedules/Winter2012/32684521.html

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 03, 2012

    BiG Up kaka Kajumulo, safi sana mzee. Mimi ni mmoja wa washabiki wako. nakufagilia sana.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 03, 2012

    Duh ,kaka Kajumulo, yaani mtu mweusi ni mweusi tu, hiyo yangu,yangu, yangu,yangu inatia kichefu chef, ni sawa na Obama,kila kitu kafanya yeye, kumuua Osama yeye, Libya imebadili kiongozi ,yeye, aafuganistani kumetulia yeye, hasifii wanajeshi wanaoifanya hiyo kazi aaa !! yeye ,yeye yeye-ndo akina Kajumulo hao. Bongo si ulijaribu kuunda timu, mbona umetoka mbio kaka. Kumbuka pia kuwasifia hao wasichana kwa juhudi zao uwanjani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...