Timu ya kandanda.co.tz inafurahia pia kutimiza mwaka mmoja. Ni matumaini yetu mwaka huu utakuwa wa mafanikio kwa wasomaji wetu wote wa tovuti hii.

Globu ya Jamii inatoa Hongera kwa kandanda.co,tz kutimiza mwaka mmoja na kuwataka wapandishe patisi na kukaza uzi kwani kazi ndiyo kwanza inaanza. Kudos to you guys - Michuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kakaa Michuzi, tunashukuru.
    Tupo tayari..pole kwa kuendelea kuboronga kule England, Sijui ligi mnaanza lini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...