Kikosi cha Twiga Stars
 Kikosi cha Banyana Banyana
Beki wa Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars), Fatuma Hatibu akijaribu kumzuia mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake ya Afrika Kusini (Banyana Banyana),Andisne Mgloyi wakati wa mchezo wa Kimataifa wa kujipima nguvu uliofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
heka heka hapa
Mgeni Rasmi katika Mchezo huo,Naibu Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Amos Makala akisalimiana na wachezaji wa Twiga Stars kabla ya kuanza kwa mchezo huo.
Viongozi.
Kocha wa Twiga Stars,Boniface Mkwasa akiwa ameduwaa baada ya vijana wake kupata kipigo cha bao 5-2.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2012

    Kila kitu kina mahala pake jamani, mpira na wanawake wapi na wapi?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 21, 2012

    Tanzania kila mahala ni vichapo tu!
    kichwa cha mwendawazimu kama kawaida.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 21, 2012

    Angalia wa-south walivyo jazi kwa maguvu wa kwetu kweli miguu ya twiga kwenda kushindana na tembo, acha tule vichapo hatupo kikazi zaidi ni misifa isiyo na maana imetujaa.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 21, 2012

    anatakiwa kocha maalum kwa ajili ya Twiga star tu, si huyu mara yuko na Twiga star na huku yuko na Ruvu shooting star, kote analipwa, na wote ni mabosi wake, au aongezewe ulaji kwa sharti kwamba ashughulike na Twiga star tu, Hata ligi za wanawake hakuhudhuria kwa sababu ya kubanwa na majukumu ya Ruvu shootings, atapataje wachezaji wazuri, wenye uwezo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...