J&M Virgo wameshusha bei mali zote ndani ya duka hilo,hivyo wahi sasa maana mzigo upo kwenye sale..duka lipo Mikocheni kwa Warioba, jijini Dar (ukiwa unatoka mjini angalia kushoto kabla ya kituo cha basi) , hususan katika jengo jipya la C&G Plaza!

 Viwalo vikali vya Kina Dada.
Viatu bomba na maridadi kwa kina Dada.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...