Viongozi wakiwa kwenye meza kuu usiku huo mwenyekitu wa jumuhia ya DMV katikati na mwakirishi wa balozi mwana Mero na msahidizi wa balozi mama Munaka, Usiku huo wa mtanzania ulipabwana na fashion show by Asya Khamsini na Fabak Fashions. Na baada ya hapo watu walikula kunywa na kusakata rhumba lililokuwa linarindimishwa na Dj Luke.
Mrembo akipita na vazi lililo buniwa na Fabak Fashion.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nawapongeaza kwa ubunifu na kuitangaza nchi yetu huko mliko mbali na nyumbani. Jambo moja tu kwa alipamba bendera ya Tanzania huanza na kijani nakuishia na bluu na si vinginevyo. Wakati ujao utarekebisha. Hongereni sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...