Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Umoja wa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini (TAHLISO) walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam siku ya Jumatano Julai 4, 2012. Viongozi hawa walikuwa wakihudhuria kongamano la mabadiliko ya katiba lililokuwa linafanyika katika ukumbi wa Karimjee.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa Umoja wa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini (TAHLISO) walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam siku ya Jumatano Julai 4, 2012. Viongozi hawa walikuwa wakihudhuria kongamano la mabadiliko ya katiba lililokuwa linafanyika katika ukumbi wa Karimjee.
PICHA NA IKULU
Hii elimu gani hakuna hata mwanamke mmoja! ajabu na aibu! Kumbe ndio maana siku zote fujo tu!!
ReplyDeleteWhere are the ladies! Hadi vyuo vikuu wanawake wanabaki nyuma? Unbelievable
ReplyDeleteViongozi wote hao kwa taasisi ndogo tu, ndio maana suluhu ni ya shida maana mawazo kingamano ni mengi sana, na bahati mbaya yanatoka kwa watu wasio na uzoefu na uongozi.
ReplyDeleteMBONA HAWAKUZINGATIA JINSIA, HAWA VIONGOZI VIPI?
ReplyDeletemh hakuna mwanamke hata mmoja!!!!!!!
ReplyDeletePatriarchy; Patriarchy; Patriarchy to the born! When are we to walk the gender equality lip service! No wonder the development short commings we experience. Kwa picha hii ambayo hawa hawa ndiyo viongozi wajao wa kisiasa, tulie tu na Mungu aendelee kutulinda.
ReplyDeleteKuna safari ndeeefu mpaka tufike kwenye gender equality!
ReplyDeleteYaani hizo zote sura za njaa na umasikini hahahaha.. watanzania msikubali kuongozwa na masikini jamani ebu chukulienei mfano wa USA hakuna kiongozi masikini ndo maana njaa na wizi hauiishiiii kamwe sitarudi bongo hadi nifeee ndo nitatakuzikiwa nyumbani kwetu Moshi
ReplyDeleteMfumo dume Tanzania bado ni tishio.kwenye shughuli za kawaida inalatisha tamaa hao ndo wasomi wanamuona mpiganaji jk
ReplyDeleteMbona hakuna wanawake???
ReplyDeleteWanawake wako wapi?
ReplyDeletejinsia zero
ReplyDeleteAcheni kukurupuka na kupelekwa na mawazo ya Kina Obama.Kwani aliesoma uongozi haukamiliki mpaka awepo mwanamke ni nani?Ok basi niseme hivi wapo viongozi5 wanawake lkn wote wanamimba za miezi9 hawakuweza kuhudhuria,sasa mnasemaje?
ReplyDeleteUpuuzi tu,hamna mwanamke ee hamna mwanamke ushamba tu.
As long as hakuna sera inayokataza wanafunzi wa kike kuwa viongozi, hakuna wa kumlaumu. Nadhani kwanza tufanye utafiti ni wanafunzi wangapi wa kike huwa wanagombea uongozi, kwa sababu huwezi kuwa kiongozi kama hujagombea.
ReplyDeleteTubadilike jamani. Wanawake wahusishwe kwenye kutoa mahamuzi vile vile. Twendeni na wakati!!!!!!
ReplyDelete