Mwakilishi Mkazi wa UNOPS nchini Sierra Leone,Ndg. Omar Mjenga akiwa na Waziri wa Afya wa Sierra Leone Mh. Zainabu Hawa Bangura, ofisin kwake. Mhe Bangura, ameteuliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon, kuwa Under-Secretary General for Sexual Violence in Conflict. Umoja wa Mataifa Sierra Leone, unamuaga rasmi Alhamisi tarehe 30th. Anaondoka Sierra leone kuelekea NY tar 2 Septemba.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Muzeee Mujenga naona wasafisha jina la nchi huko Sierra Leone. Sasa tupe mchongo wa namna ya sisi wananchi kufaidika na uwepo wako huko. twataka iwe zaidi ya wewe kuonekana kwa social media tuu.
    Namnani

    ReplyDelete
  2. Hongera Mdau Omary Mjenga kwa uwakilishi wako mwema huko.

    Mungu akuzidishie!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...