Rais Dkt.Jakaya  Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu jijini Dar es Salaam Rais Mstaafu wa Msumbiji Joachim Chissano na kufanya nae mazungumzo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais Mstaafu wa Msumbiji Joachim Chissano (wapili kushoto)pamoja na katibu mkuu wa Jumuiya ya Uchumi Kusini Mwa Afrika SADC Dr. Thomas  Salomao ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi(picha na Freddy Maro).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...