Balozi wa Uholanzi nchini Dr. Ad Koekkoek (kulia) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es salaam kuhusu msaada wa shilingi bilioni 33 uliotolewa na Uholanzi kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili kuimarisha huduma za uchunguzi wa magonjwa mbalimbali katika Hospitali 37 hapa nchini . Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah. Tanzania nayo inatakiwa kuchangia kiasi kama hicho katika huduma hiyo ili kuwa asilimia 50 kwa 50 kila pande yaani Tanzania na uholanzi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) leo  jijini Dar es salaam kuhusu msaada wa shilingi bilioni 33 uliotolewa na Uholanzi kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili kuimarisha huduma za uchunguzi wa magonjwa mbalimbali katika Hospitali 37 hapa nchini. Kulia ni Balozi wa Uholanzi nchini Dr. Ad Koekkoek . Tanzania nayo inatakiwa kuchangia kiasi kama hicho katika huduma hiyo ili kuwa asilimia 50 kwa 50 kila pande yaani Tanzania na Uholanzi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) na Balozi wa Uholanzi nchini Dr. Ad Koekkoek (kulia) wakibadilishana hati ya msaada wa shilingi bilioni 33 uliotolewa na Serikali ya Uholanzi kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili kuimarisha huduma za uchunguzi wa magonjwa mbalimbali katika Hospitali 37 hapa nchini. Tanzania nayo inatakiwa kuchangia kiasi kama hicho katika huduma hiyo ili kuwa asilimia 50 kwa 50 kila pande yaani Tanzania na Uholanzi. Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO- Dar es salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. zitaliwa hizo na wajanja, Bongo imeoza. I cannot understand how EEC countries are pouring money in Tanzania when they know the beneficiaries are the few clever ones. Europe itself is bleeding, am lost.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...