Rais Jakaya Kikwete akikata utepe kuzindua chuo hicho akisaidiwa na Makamu wa Rais na Mkuu wa Chuo hicho Dkt Mohamed Ghalib Bilali, Makamu Mkuu wa Chuo Profesa BurtonMwamila, WAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa MakameMbarawa,Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Magesa Mulongo, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Onesmo ole Nangore na Makamu Mkuu wa Chuo cha Ardhi 
 Zifuatazo ni taswira za Chuo Kikuu cha Nelson Mandela jijini Arusha






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. tunawashukuru walioanzisha wazo hili nzuri. chuo kinapendeza sana na kikisimamiwa vizuri kitasaidia kuleta mabadiliko katika elimu ya juu katika nchi yetu

    ReplyDelete
  2. maendeleo mazuri haya tumeletewa mashule tumejengewa watanzania tulivyo na tabia ya kuharibu haribu kutavunjwa hapo mpaka usahau ni chuo kipya jamani watanzania wenzangu chuo kipya kabisa hiicho mkitunze kidumu waje wasome na wajukuu zenu utamaduni wa kuvunja vunja mkiwa na hasira muuache hizo hasira zenu kama chakula kibaya au mmenyimwa mikopo ya shule msiimalizie kwenye majengo

    ReplyDelete
  3. OOOh waoh I feel proud for this institution being in Tanzania and built by our own money from tax payers of united republic of Tanzania. However, I wanna just to remind responsible authorities and other stakeholders on few issues that
    1 Good infrastructures like that should go hand in handle with the good output (Good quality education ) and to come up with good scientist and engineers who can real make difference in that arena and contribute significantly in addressing specific problems and challenges facing African countries and Tanzania in particular. This can only be achieved through high commitment and dedication of scientist themselves (students and faculty), proper allocation of research funds, commitment and support of the ruling Government bcoz one author wrote a book titled "it is dangerous to be right when government is wrong". We are lucky our president supports development of science and technology.

    2. Maintenance and repair of those good infrastructures should be our habit. Experience shows maintenance and repair is not our habit especially in public buildings
    3. Users (students, researchers faulty, visitors) please take note that elevation of those good infrastructures has big implication to tax payers money we sacrificed our "blue band in our daily bread" to save money used to build this institution. therefore it is our sincere hope that you will be a part and parcel making the built structures stay long for the coming generations and your contribution of your researches in addressing society problems will be realized soon no later

    ReplyDelete
  4. Safi sana,chuo kimetulia.Vyuo vikuu tuvifungue lakini tusisahau kwamba tatizo kubwa...Tatizo kubwa la ajira.Vijana wanamaliza vyuo vikuu hivi hawana uhakika na ajira,wapo kibao mtaani wanahangaika kutafuta kazi ambazo hazipo.Matokeo tunazalisha nini?....Tafakari.Ankal comments kama hizi aghalabu huwa 'unazifinya' lakini sina nia mbaya hata kidogo.Mimi ni mzalendo.Jumapili njema

    David V

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...